The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
- #21
Unajua Benny chawa ndio chanzo cha kumfanya kiongozi awe comfortable katikati ya matatizo ya watu anaowaongoza chawa maadamu anapata mkate wake atakwambia hali ni shwari kabisa ndio maana haikushangaza ndugai aliposema nchi itapigwa mnada alishukiwa kama mwewe lakini jana nimemsikia mama akimwambia mwenda nimechoka kukopakopaSidhani kama tatizo la tunao wapa dhamana ni chawa liko Kwao wenyewe Kwa kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kutumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao, a.k.a kujizima data