ormystatus
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 262
- 464
Haliuzwi, Lipo Shamba linalouzwa Lipo kijiji cha Maundo- MtwaraUnauzaje hilo ambalo unalijutia ??
wewe ni kama mimi sijamuelewa au hangover inamsumbuaSijakuelewa ama ni vile bado sijapata lunch nna wenge ?
Shamba baya?
Linakupa hasara ?
Mikorosho hailipi ?
Upo karibu na makazi ?
Unataka kufuga ?
Ama kuuza ?
Sijakuelewa ama ni vile bado sijapata lunch nna wenge ?
Shamba baya?
Linakupa hasara ?
Mikorosho hailipi ?
Upo karibu na makazi ?
Unataka kufuga ?
Ama kuuza ?
Nilidhani pekeyangu ndiyo sijamwelewa.Sijakuelewa ama ni vile bado sijapata lunch nna wenge ?
Shamba baya?
Linakupa hasara ?
Mikorosho hailipi ?
Upo karibu na makazi ?
Unataka kufuga ?
Ama kuuza ?
Hajaeleweja hata anajutia nini? 😁wewe ni kama mimi sijamuelewa au hangover inamsumbua
ni dalili za mtu aliekutana na matapeli anakua hana utulivu akiwa anatoa maelezoHajaeleweja hata anajutia nini? 😁
Kama kuna shamba lipo linauzwa sema fastaHaliuzwi, Lipo Shamba linalouzwa Lipo kijiji cha Maundo- Mtwara
Nilinadishiwa tu
🤣🤣🤣mi nimekimbilia kusoma comment ili nielewe,, nakutana na comment za watu kuto kuelewa🤣🤣🤣
we kijana upo?
niambie kipenzi changuwe kijana upo?
safi tu, unaendeleajniambie kipenzi changu
Omba ushauri kwa mrembo na nuru ya taifa mkulima namba moja mwenye uzuri wa aina yake kwaanzia unyayo hadi utosini.Ni takribani miaka 8 tangu niliponunua pori lenye ukubwa wa ekari 10 katika kijiji cha Nnyengedi mkoa wa Mtwara na kuligeuza kuwa Shamba la Mikorosho.
Shamba ambalo halipo mbali sana na barabara kubwa na makazi ya watu. Lilozungukwa na Mashamba ya wanakijiji na Wawekezaji wengine kutoka mjini.
Fauka ya yote, hiyo imekuwa kama msumari wa moto moyoni mwangu, na si faida kwani imenitenganisha na fursa ya Unenepeshaji na ufugaji wa Wanyama kama Ng’ombe na Mbuzi katika Shamba hilo.
Inanilazimu kuingia gharama kubwa ya kutafuta eneo lingine zuri mbali na mashamba ya wakulima, karibu kabisa na maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Malisho
Je, Ni Vijiji/Maeneo Gani Mkoani Mtwara Yametengwa Rasmi Kwa Ajili Ya Malisho ?
Maongezi yetu yalimalizika huku nikiachiwa swali hilo.
nimekumiss tu na utundu wakosafi tu, unaendeleaj
😊😊 huyo dada huwa namkubali sana mpiganaji sema majaribu kazini hayakosekanikiOmba ushauri kwa mrembo na nuru ya taifa mkulima namba moja mwenye uzuri wa aina yake kwaanzia unyayo hadi utosini.
View attachment 3563684
min -me MamaSamia2025
adriz de mbusii
Uandishi ndugu yangu ni kipaji! Jamaa kaandika kama ana unyafuzi kichwani! Mara mikorosho mara kunenepesha ng'ombeSijakuelewa ama ni vile bado sijapata lunch nna wenge ?
Shamba baya?
Linakupa hasara ?
Mikorosho hailipi ?
Upo karibu na makazi ?
Unataka kufuga ?
Ama kuuza ?