mi nilivyo muelewa ni kwamba
alinunua shamba ili afanyie shuguli mbili,, moja ni kilimo ndo kafanikisha kulima hiyo mikorosho,,, 2, ni ufugaji,, sasa ufugaji ameshindwa kuendeleza kwasababu shamba hilo lipo katikati ya mji na makazi ya watu,,,, kama mnavyo elewa mifugo ilivyo na changamoto esp kwenye uchafuzi wa mazingira na pia hawezi kupitisha kwenye msongamano wa watu, na ni kama hawapendezwi kuona hao mifugo maeneo hayo
mwishoni ndo akauliza je huko mtwara kuna eneo lililo tengwa kwa ajili ya malisho ya hao ng'ombe wake,,,, sasa wenyeji wa mtwara mje kumjibu ndugu yenu