Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

Sijakuelewa ama ni vile bado sijapata lunch nna wenge ?

Shamba baya?
Linakupa hasara ?
Mikorosho hailipi ?
Upo karibu na makazi ?
Unataka kufuga ?
Ama kuuza ?
Hapo kwenye Swali ndo lengo na andiko lote lilipo, nataka kufahamu maeneo yaliyotengwa rasmi kwa ufugaji Mtwara. Zingine ni bla bla.
 
unataka uzidi kuwa changanya watu na comment zetu😅😅😅 washindwe kuelewa uzi unazungumzia nini zaidi
😂😂😂 dah hilo nalo neno ngoja kuna hule uzi wetu tutachafua hali ya hewa kula mida mida uniambia vitu vipya hivyo huishiwi na vituko wewe 😊
 
Nilidhani pekeyangu ndiyo sijamwelewa.

Hata hivyo mleta mada ormystatus hiyo Nyengedi uliyoitaja ipo Mkoa wa Lindi na si Mtwara. Tena ni Kijiji kilichopo Jimbo la Nape-Mtama.
Hili jukwaa mna tabia ya Kupotezea Mada za Msingi na Maswali ya Msingi kuhusu Kilimo na ufugaji

Hivo aina ya uandishi niliotumia ni maalum kwa ajili ya Kuteka attention ya Msomaji

Nnyengedi ipo Mtwara pia, ukitaka kufika unapita Mbae, Mkangala, Mbawala chini, unakona kulia unapita shule ya msingi Mwenge kisha unafika kijijini

Pia unaweza pita Njia ya Naliendele, kisha unaingia Mbawala unaisogelea Nnyengedi
 
Nilidhani pekeyangu ndiyo sijamwelewa.

Hata hivyo mleta mada ormystatus hiyo Nyengedi uliyoitaja ipo Mkoa wa Lindi na si Mtwara. Tena ni Kijiji kilichopo Jimbo la Nape-Mtama.
Nilivoelwa alinunua shamba la mikorosho lipo barabarani ila anafuga kwahiyo linamkosesha fursa za kulishanmifugo yake kwani lipo karibu na maeneo ya watu wengine analazimkka kutafuta eneo lingine japo la mbali na hilo ili aweze kufuga anaeneo kubwa la ekari 10

Sijui ni hivohivo ama😀😀
 
Back
Top Bottom