ππππ nimeshafika tayali,, leo ninao utundu mpyanimekumiss tu na utundu wako
Ngoja pengine aje na maelezo yaliyonyookaNilidhani pekeyangu ndiyo sijamwelewa.
Hata hivyo mleta mada ormystatus hiyo Nyengedi uliyoitaja ipo Mkoa wa Lindi na si Mtwara. Tena ni Kijiji kilichopo Jimbo la Nape-Mtama.
Changamoto sana hii ... hajaeleweka kabisa....Uandishi ndugu yangu ni kipaji! Jamaa kaandika kama ana unyafuzi kichwani! Mara mikorosho mara kunenepesha ng'ombe
ehhh hujawahi niangusha haya lete vitu vipyaπππππ nimeshafika tayali,, leo ninao utundu mpya
unataka uzidi kuwa changanya watu na comment zetuπ π π washindwe kuelewa uzi unazungumzia nini zaidiehhh hujawahi niangusha haya lete vitu vipyaπ
Vale kapiga hii picha kimkakati sana.Omba ushauri kwa mrembo na nuru ya taifa mkulima namba moja mwenye uzuri wa aina yake kwaanzia unyayo hadi utosini.
View attachment 3563684
min -me MamaSamia2025
adriz de mbusii
Hapo kwenye Swali ndo lengo na andiko lote lilipo, nataka kufahamu maeneo yaliyotengwa rasmi kwa ufugaji Mtwara. Zingine ni bla bla.Sijakuelewa ama ni vile bado sijapata lunch nna wenge ?
Shamba baya?
Linakupa hasara ?
Mikorosho hailipi ?
Upo karibu na makazi ?
Unataka kufuga ?
Ama kuuza ?
πππ dah hilo nalo neno ngoja kuna hule uzi wetu tutachafua hali ya hewa kula mida mida uniambia vitu vipya hivyo huishiwi na vituko wewe πunataka uzidi kuwa changanya watu na comment zetuπ π π washindwe kuelewa uzi unazungumzia nini zaidi
Hili jukwaa mna tabia ya Kupotezea Mada za Msingi na Maswali ya Msingi kuhusu Kilimo na ufugajiNilidhani pekeyangu ndiyo sijamwelewa.
Hata hivyo mleta mada ormystatus hiyo Nyengedi uliyoitaja ipo Mkoa wa Lindi na si Mtwara. Tena ni Kijiji kilichopo Jimbo la Nape-Mtama.
Wala sijakutana na tapeli ndugu yangu. Nilitaka niache inahang hivihivi lakini Naomba kujulishwa vijiji/maeneo rasmi yaliyotengwa rasmi kwa malishoni dalili za mtu aliekutana na matapeli anakua hana utulivu akiwa anatoa maelezo
Nilinadishiwa shamba lipo Maundo lakini sina taarifa za kutosha kulihusu kwasababu sikua hata na hiyo hela ya kununuaKama kuna shamba lipo linauzwa sema fasta
π ππmnisamehe mnijibu swali langu mbona limeeleweka lakinimi nimekimbilia kusoma comment ili nielewe,, nakutana na comment za watu kuto kuelewaπ€£π€£π€£
Huyu shughuli zake hafanyii kusini huyuOmba ushauri kwa mrembo na nuru ya taifa mkulima namba moja mwenye uzuri wa aina yake kwaanzia unyayo hadi utosini.
View attachment 3563684
min -me MamaSamia2025
adriz de mbusii
Bila kukuacha ukihang hang usingekoment hapa, nilikuwa nataka ukoment kama hiviUandishi ndugu yangu ni kipaji! Jamaa kaandika kama ana unyafuzi kichwani! Mara mikorosho mara kunenepesha ng'ombe
labda anajutia kuotesha mikoroshoHajaeleweja hata anajutia nini? π
πππhebu acha kustua tupo ugenini huku na hakuna kitanda imara kama kile chetu, tutaishia kuaibika tuπuna matatizo gani weye au nanilii ndo zinakufanya uwe na hasiraπ€ππ
Nilivoelwa alinunua shamba la mikorosho lipo barabarani ila anafuga kwahiyo linamkosesha fursa za kulishanmifugo yake kwani lipo karibu na maeneo ya watu wengine analazimkka kutafuta eneo lingine japo la mbali na hilo ili aweze kufuga anaeneo kubwa la ekari 10Nilidhani pekeyangu ndiyo sijamwelewa.
Hata hivyo mleta mada ormystatus hiyo Nyengedi uliyoitaja ipo Mkoa wa Lindi na si Mtwara. Tena ni Kijiji kilichopo Jimbo la Nape-Mtama.