kasema ameacha hivyo ili tuhangaike kuelewa anataka nini 🤣🤣Nilivoelwa alinunua shamba la mikorosho lipo barabarani ila anafuga kwahiyo linamkosesha fursa za kulishanmifugo yake kwani lipo karibu na maeneo ya watu wengine analazimkka kutafuta eneo lingine japo anaeneo kubwa la ekari 10
Sijui ni hibohivo ama😀😀
Atajijua mwenyewe.Nilivoelwa alinunua shamba la mikorosho lipo barabarani ila anafuga kwahiyo linamkosesha fursa za kulishanmifugo yake kwani lipo karibu na maeneo ya watu wengine analazimkka kutafuta eneo lingine japo anaeneo kubwa la ekari 10
Sijui ni hibohivo ama😀😀
Alafu anatufokea kisa hatujaelewa.kasema ameacha hivyo ili tuhangaike kuelewa anataka nini 🤣🤣
Anatka msusie uzi 😂😂😂alafu na misamiat juu sasa sijui fanau sijui lau la dongekasema ameacha hivyo ili tuhangaike kuelewa anataka nini 🤣🤣
😂😂😂Aklishe kwenye mashamba ya watu watu wanywe supu😂😂Atajijua mwenyewe.
Anaandika kama mtoto,watu wakitaka ufafanuzi hawajaelewa yeye anatufokea.
Atajua mwenyewe na shamba lake!
😂😂😂dah mkuu nimechekaAlafu anatufokea kisa hatujaelewa.
Anadhani kama sisi ni ng'ombe zake hapo shambani. Wafugaji sijui hasira zinatokaga wapi Hawa watu!!
acha akutane na wakulima wenye hasira kali wakatekate mali zakeAnatka msusie uzi 😂😂😂alafu na misamiat juu sasa sijui fanau sijui lau la donge
Je, umetapeliwa, au?Fauka ya yote, hiyo imekuwa kama msumari wa moto moyoni mwangu, na si faida kwani imenitenganisha na fursa ya Unenepeshaji na ufugaji wa Wanyama kama Ng’ombe na Mbuzi katika Shamba hilo.
haya maongezi yalikua baina ya nani na nani? tuanzie hapa ""😅😂😂mnisamehe mnijibu swali langu mbona limeeleweka lakini
safi kabisahaya maongezi yalikua baina ya nani na nani? tuanzie hapa ""
"Je, Ni Vijiji/Maeneo Gani Mkoani Mtwara Yametengwa Rasmi Kwa Ajili Ya Malisho ?
Maongezi yetu yalimalizika huku nikiachiwa swali hilo."
sahihi kabisami nilivyo muelewa ni kwamba
alinunua shamba ili afanyie shuguli mbili,, moja ni kilimo ndo kafanikisha kulima hiyo mikorosho,,, 2, ni ufugaji,, sasa ufugaji ameshindwa kuendeleza kwasababu shamba hilo lipo katikati ya mji na makazi ya watu,,,, kama mnavyo elewa mifugo ilivyo na changamoto esp kwenye uchafuzi wa mazingira na pia hawezi kupitisha kwenye msongamano wa watu, na ni kama hawapendezwi kuona hao mifugo maeneo hayo
mwishoni ndo akauliza je huko mtwara kuna eneo lililo tengwa kwa ajili ya malisho ya hao ng'ombe wake,,,, sasa wenyeji wa mtwara mje kumjibu ndugu yenu
Mimi nimemuelewa japo malalamiko yake hayana tija sana.Nilidhani pekeyangu ndiyo sijamwelewa.
Hata hivyo mleta mada ormystatus hiyo Nyengedi uliyoitaja ipo Mkoa wa Lindi na si Mtwara. Tena ni Kijiji kilichopo Jimbo la Nape-Mtama.
Uko vizuri sana, wenyeji wa Mtwara wasaidie kutoa Location za maeneo tengefu ya kulisha mifugoMimi la Saba B nimekuelewa sana, Watu wa mtwara mumusaidie kupata maneno hayo huko
Hapana, nahitaji msaada kujua maeneo rasmi yaliyotengwa kwa ajili ya Malisho ya Mifupo Mkoa wa Mtwara.Je, umetapeliwa, au?
Mimi na Mama mzazi-Business partner ambae tunatarajia kuanza ufugaji na biashara ya kunenepesha mifugo na kuuzahaya maongezi yalikua baina ya nani na nani? tuanzie hapa ""
"Je, Ni Vijiji/Maeneo Gani Mkoani Mtwara Yametengwa Rasmi Kwa Ajili Ya Malisho ?
Maongezi yetu yalimalizika huku nikiachiwa swali hilo."
hongera ila umezingatia kuwa mifugo yenu isingilie mashamba ya wakulimaMimi na Mama mzazi-Business partner ambae tunatarajia kuanza ufugaji na biashara ya kunenepesha mifugo na kuuza
Wallah inaonekana ulikuwa Bingwa wa Somo la Kiswahili shulenimi nilivyo muelewa ni kwamba
alinunua shamba ili afanyie shuguli mbili,, moja ni kilimo ndo kafanikisha kulima hiyo mikorosho,,, 2, ni ufugaji,, sasa ufugaji ameshindwa kuendeleza kwasababu shamba hilo lipo katikati ya mji na makazi ya watu,,,, kama mnavyo elewa mifugo ilivyo na changamoto esp kwenye uchafuzi wa mazingira na pia hawezi kupitisha kwenye msongamano wa watu, na ni kama hawapendezwi kuona hao mifugo maeneo hayo
mwishoni ndo akauliza je huko mtwara kuna eneo lililo tengwa kwa ajili ya malisho ya hao ng'ombe wake,,,, sasa wenyeji wa mtwara mje kumjibu ndugu yenu
Ukiachana na mada, hivi kuwa hivi kama huyu dada ndio kuwa MZURI,? Maana kiukweli Huwa sielewi, wengi wanamsifia achana na uchakarikaji wake.Omba ushauri kwa mrembo na nuru ya taifa mkulima namba moja mwenye uzuri wa aina yake kwaanzia unyayo hadi utosini.
View attachment 3563684
min -me MamaSamia2025
adriz de mbusii