Laiti Serikali ingejua yaliyo moyoni mwa nguli wa Riadha Filbert Bayi wasingemkumbatia. Huyu mwamba ndiye muuaji wa vipaji vya riadha Tanzania

Hujaeleza anaua vipi vipaji? Weka maelezo kamili!
 
Huyo Bayi sijui Baye nimeanza kumskia miaka mingi sana na sijawahi kuskia watu wakimuongelea kwa mazuri, hivi inashindikana nini kumtoa hapo kwenye huo wadhifa? Ni kwamba hakuna mtu mwingine wa kukaa kwenye hiyo nafaso yake au?
 
Huyo Bayi sijui Baye nimeanza kumskia miaka mingi sana na sijawahi kuskia watu wakimuongelea kwa mazuri, hivi inashindikana nini kumtoa hapo kwenye huo wadhifa? Ni kwamba hakuna mtu mwingine wa kukaa kwenye hiyo nafaso yake au?
Kuna watu wanajuwa kuroga, huwa wanasahaurika kabisa kujadiliwa, hatimaye Bayi naye amefikiwa.
 
Tatizo ni mfumo ndio madudu kama haya yanatokea, nchi za wenzetu wana mashindano ya wazi yaliyo rasmi, ukishinda vigezo vinavyotakiwa kupiga wenzako unapata nafasi ya kuwakilisha, hakuna Cha kujuana wala longo longo ya jeshi au mjomba, halafu vitu vingine ni rahisi sana, kama utaratibu unazingua study then copy and paste system za nchi nyingine wanavyopata wawakilishi wao then chukua inayofaa itumie huku ukiendelea kurekebisha Kwa mazingira yako na mahitaji, hizi ligi zetu za soka zote mfumo wa uendeshaji tume copy England
 
Nashawishika kukuunga mkono. Una hoja ya msingi
 
Haya mambo Wilhelm gidabuday aliyapigia kelele sana miaka ya nyuma hakuoata kusikilizwa alisema aazi pesa za olimpiki ndio imekuwa chanzo cha utajiri was Bayi yule jamaa no mbinafsi na fisadi LA kutisha.
Nae alihongwa na bayi akafyata mkia, sasa hivi ni chapombe balaaa...bayi akuhongi bure lazima uharibikiwe coz anatumiwa hadi waganga wa kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…