daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Kwani Bayi na Nyambui bado ni viongozi? Ni miaka mingi sana tangu nianze kuwasikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesKwani Bayi na Nyambui bado ni viongozi? Ni miaka mingi sana tangu nianze kuwasikia.
Hivi na nyie wapumbavu mmehamia hadi huku jamii forum?Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
Hujaeleza anaua vipi vipaji? Weka maelezo kamili!Hello!
Moja kwa moja kwenye mada!
Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye mashindano tu.
Huyu kijana kama atatumia muda wake wote au muda mwingi kupiga tizi sure atafika mbali. Ajabu ni kwamba jamaa hakubahatika hata kufika popote. Viongozi ndio mwiba.
Kijana mwingine wa mbio ndefu jirani yetu kule Lindi miaka kama 10 nyuma aling'ara na aliweza kuvunja rekodi za manguli wa riadha wa Dunia akiwa hapahapa Bongo. Tulitegemea angefika mbali. Kijana akiwa kwenye Kambi kuelekea Olympic huyo niliyemtaja juu akamla kichwa kwa sababu za hapa na pale.
Hofu ni kwamba angevunja rekodi yake na labda angekosa heshima anayoipata sasa .
Serikali vijana hawana pa kusemea dukuduku zao. Mchunguzeni huyu Mzee. Mtanishukuru.
Simbu sasa anang'ara kwakuwa ametokea jeshini hivyo kapata fursa za nje kupitia mgongo wa jeshi na sasa hawezi kumzuia.
Filbert Bayi achunguzwe na ikibainika ni kweli alifanya hujuma yoyote ashitakiwe. Au awekwe pembeni kwa njia ya amani halafu tuone matokeo ya miaka 5 bila yeye.
Nyambui siyo kiongozi
Dah nakumbuka sana jamaa alivyokuwa anaisemea riadha.Haya mambo Wilhelm gidabuday aliyapigia kelele sana miaka ya nyuma hakuoata kusikilizwa alisema aazi pesa za olimpiki ndio imekuwa chanzo cha utajiri was Bayi yule jamaa no mbinafsi na fisadi LA kutisha.
Jamaaa alikuwa nia ya xhati na riadhaDah nakumbuka sana jamaa alivyokuwa anaisemea riadha.
Typical ngozi nyeusiNasikia ndio michezo ya Bayi hiyo, akigundua una kitu na utafika mbali lazima atakuletea figisu na kukukata kichwa.
Yaani Rushwa haitaisha AfricaAtakua anahonga wajumbe , unafikir miaka yote hio liko tu halitoki, ila huwez kuishi milele, atakufa ataiacha hio nafasi
wapi sigara au? apumzike kwa amani ila kwenye soka nako kuna madudu ya kutisha sanaMansour Magram ni kocha wa mpira ilitokeaga uvumi kwamba anawafirimba wachezaji ndio upate namba kwenye kikosi chake.
Huwa nashangaa kumiliki shule kama ile ametowa wapi pesa?Bayi anakumbatia fedha za Olimpic toka kitambo sana..
Kuna watu wanajuwa kuroga, huwa wanasahaurika kabisa kujadiliwa, hatimaye Bayi naye amefikiwa.Huyo Bayi sijui Baye nimeanza kumskia miaka mingi sana na sijawahi kuskia watu wakimuongelea kwa mazuri, hivi inashindikana nini kumtoa hapo kwenye huo wadhifa? Ni kwamba hakuna mtu mwingine wa kukaa kwenye hiyo nafaso yake au?
Nashawishika kukuunga mkono. Una hoja ya msingiHello!
Moja kwa moja kwenye mada!
Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye mashindano tu.
Huyu kijana kama atatumia muda wake wote au muda mwingi kupiga tizi sure atafika mbali. Ajabu ni kwamba jamaa hakubahatika hata kufika popote. Viongozi ndio mwiba.
Soma Pia:
Kijana mwingine wa mbio ndefu jirani yetu kule Lindi miaka kama 10 nyuma aling'ara na aliweza kuvunja rekodi za manguli wa riadha wa Dunia akiwa hapahapa Bongo. Tulitegemea angefika mbali. Kijana akiwa kwenye Kambi kuelekea Olympic huyo niliyemtaja juu akamla kichwa kwa sababu za hapa na pale.
- Kwanini hadi leo Filbert Bayi anatajwa na kuheshimika sana kwenye riadha? Soma hapa
- Mwanariadha Alphonce Simbu amaliza nafasi ya 17 Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa
Hofu ni kwamba angevunja rekodi yake na labda angekosa heshima anayoipata sasa .
Serikali vijana hawana pa kusemea dukuduku zao. Mchunguzeni huyu Mzee. Mtanishukuru.
Simbu sasa anang'ara kwakuwa ametokea jeshini hivyo kapata fursa za nje kupitia mgongo wa jeshi na sasa hawezi kumzuia.
Filbert Bayi achunguzwe na ikibainika ni kweli alifanya hujuma yoyote ashitakiwe. Au awekwe pembeni kwa njia ya amani halafu tuone matokeo ya miaka 5 bila yeye.
Nae alihongwa na bayi akafyata mkia, sasa hivi ni chapombe balaaa...bayi akuhongi bure lazima uharibikiwe coz anatumiwa hadi waganga wa kienyejiHaya mambo Wilhelm gidabuday aliyapigia kelele sana miaka ya nyuma hakuoata kusikilizwa alisema aazi pesa za olimpiki ndio imekuwa chanzo cha utajiri was Bayi yule jamaa no mbinafsi na fisadi LA kutisha.