Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Mkuu unataka shule yake ya Filbert Bayi ife...huko TOC ndiko wanapovuna mapesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio unyoko ni nini?Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
Nawezaje kujifunza kwenye huu mtandao mkuuBypass mambo kama haya kijanja sana wala huna sababu ya kumlalamikia mtu yeyote yule.
Unafahamu Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais yaani President Supporters Network (PSN)?
Channel ndoto zako kupitia platforms zake hakika hakuna kitakachokuzuia.
Shiriki kwenye Programs zake mbalimbali yasio na idadi tena kwa muda wako unaona inafaa. Utaonekana.
Na kwa niaba ya Rais hakuna wa kukuzuia kwa figisu kwenye jambo lolote lile. Ushindwe mwenyewe tu.
Nimesoma Dar, moja ya sifa ya shule ilikuwa ni kuwa na kiwanja cha michezo.Serikali kupitia tamisemi na wizara ya elimu ndio wameharibu vipaji vya michezo Tanzania.
Hakuna michezo shule za msingi hata za sekondari, hakuna viwanja vya michezo shuleni. Mfano Dar hakuna shule yenye kiwanja Cha michezo Wala mwalimu wa michezo. Sasa vipaji tutaviibua je?
Hello!
Moja kwa moja kwenye mada!
Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye mashindano tu.
Huyu kijana kama atatumia muda wake wote au muda mwingi kupiga tizi sure atafika mbali. Ajabu ni kwamba jamaa hakubahatika hata kufika popote. Viongozi ndio mwiba.
Soma Pia:
Kijana mwingine wa mbio ndefu jirani yetu kule Lindi miaka kama 10 nyuma aling'ara na aliweza kuvunja rekodi za manguli wa riadha wa Dunia akiwa hapahapa Bongo. Tulitegemea angefika mbali. Kijana akiwa kwenye Kambi kuelekea Olympic huyo niliyemtaja juu akamla kichwa kwa sababu za hapa na pale.
- Kwanini hadi leo Filbert Bayi anatajwa na kuheshimika sana kwenye riadha? Soma hapa
- Mwanariadha Alphonce Simbu amaliza nafasi ya 17 Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa
Hofu ni kwamba angevunja rekodi yake na labda angekosa heshima anayoipata sasa .
Serikali vijana hawana pa kusemea dukuduku zao. Mchunguzeni huyu Mzee. Mtanishukuru.
Simbu sasa anang'ara kwakuwa ametokea jeshini hivyo kapata fursa za nje kupitia mgongo wa jeshi na sasa hawezi kumzuia.
Filbert Bayi achunguzwe na ikibainika ni kweli alifanya hujuma yoyote ashitakiwe. Au awekwe pembeni kwa njia ya amani halafu tuone matokeo ya miaka 5 bila yeye.
AFRICA HATA KAMA KAMA UNA KIPAJI KUTOBOA NI NGUMU SANA KAMA HUNA CONNECTION YA UHAKIKA. BABA YAKE KYLAN MBAPE ALIMPELEKA CAMEROON ILI ACHEZEE TIMU YA TAIFA HILO BADALA YA UFARANSA ILA JAMAA WAKAMDAI PESA KWANZA NDIO WAMPE NAFASI, AKAONA UJINGA AKAMPELEKA UFARANSA.Hello!
Moja kwa moja kwenye mada!
Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye mashindano tu.
Huyu kijana kama atatumia muda wake wote au muda mwingi kupiga tizi sure atafika mbali. Ajabu ni kwamba jamaa hakubahatika hata kufika popote. Viongozi ndio mwiba.
Soma Pia:
Kijana mwingine wa mbio ndefu jirani yetu kule Lindi miaka kama 10 nyuma aling'ara na aliweza kuvunja rekodi za manguli wa riadha wa Dunia akiwa hapahapa Bongo. Tulitegemea angefika mbali. Kijana akiwa kwenye Kambi kuelekea Olympic huyo niliyemtaja juu akamla kichwa kwa sababu za hapa na pale.
- Kwanini hadi leo Filbert Bayi anatajwa na kuheshimika sana kwenye riadha? Soma hapa
- Mwanariadha Alphonce Simbu amaliza nafasi ya 17 Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa
Hofu ni kwamba angevunja rekodi yake na labda angekosa heshima anayoipata sasa .
Serikali vijana hawana pa kusemea dukuduku zao. Mchunguzeni huyu Mzee. Mtanishukuru.
Simbu sasa anang'ara kwakuwa ametokea jeshini hivyo kapata fursa za nje kupitia mgongo wa jeshi na sasa hawezi kumzuia.
Filbert Bayi achunguzwe na ikibainika ni kweli alifanya hujuma yoyote ashitakiwe. Au awekwe pembeni kwa njia ya amani halafu tuone matokeo ya miaka 5 bila yeye.
Afrika= darkAFRICA HATA KAMA KAMA UNA KIPAJI KUTOBOA NI NGUMU SANA KAMA HUNA CONNECTION YA UHAKIKA. BABA YAKE KYLAN MBAPE ALIMPELEKA CAMEROON ILI ACHEZEE TIMU YA TAIFA HILO BADALA YA UFARANSA ILA JAMAA WAKAMDAI PESA KWANZA NDIO WAMPE NAFASI, AKAONA UJINGA AKAMPELEKA UFARANSA.
KUNA MWANARIADHA WA KENYA JUZI NILISOMA SEHEMU NA.YEYE ALIDAIWA PESA ILI ASHIRIKI MASHINDANO BADALA YAKE AKONA AKAIWAKILISHE QATAR
Hiyo shule yako itakua Ni zile zilizojenhwa na wakoloni au za miaka ya sabini kurudi chini wakati elimu ilikua elimu kweli.Nimesoma Dar, moja ya sifa ya shule ilikuwa ni kuwa na kiwanja cha michezo.
Labda useme hizi shule za kata za ccm ndio wamejenga tu kama vituo vya watoto kwenda kupotezea buda.
KumbeJamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
Point..!Filbert Bayi achunguzwe na ikibainika ni kweli alifanya hujuma yoyote ashitakiwe. Au awekwe pembeni kwa njia ya amani halafu tuone matokeo ya miaka 5 bila yeye.
Ni ujinga na upumbavu kuwa na kiongozi mmoja tu kwenye hiyo kamati ya olimpiki miaka nenda!! Tangu watu wanazaliwa, mpaka wanazeeka na wengine kufa! Katibu mkuu wa TOC ni Filbert Bayi tu!!Hello!
Moja kwa moja kwenye mada!
Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye mashindano tu.
Huyu kijana kama atatumia muda wake wote au muda mwingi kupiga tizi sure atafika mbali. Ajabu ni kwamba jamaa hakubahatika hata kufika popote. Viongozi ndio mwiba.
Soma Pia:
Kijana mwingine wa mbio ndefu jirani yetu kule Lindi miaka kama 10 nyuma aling'ara na aliweza kuvunja rekodi za manguli wa riadha wa Dunia akiwa hapahapa Bongo. Tulitegemea angefika mbali. Kijana akiwa kwenye Kambi kuelekea Olympic huyo niliyemtaja juu akamla kichwa kwa sababu za hapa na pale.
- Kwanini hadi leo Filbert Bayi anatajwa na kuheshimika sana kwenye riadha? Soma hapa
- Mwanariadha Alphonce Simbu amaliza nafasi ya 17 Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa
Hofu ni kwamba angevunja rekodi yake na labda angekosa heshima anayoipata sasa .
Serikali vijana hawana pa kusemea dukuduku zao. Mchunguzeni huyu Mzee. Mtanishukuru.
Simbu sasa anang'ara kwakuwa ametokea jeshini hivyo kapata fursa za nje kupitia mgongo wa jeshi na sasa hawezi kumzuia.
Filbert Bayi achunguzwe na ikibainika ni kweli alifanya hujuma yoyote ashitakiwe. Au awekwe pembeni kwa njia ya amani halafu tuone matokeo ya miaka 5 bila yeye.
GT ni shilingi ngapi Olympic wanatoa? Lakini sibkuna wizara ya michezo na utamaduni?Bayi anakumbatia fedha za Olimpic toka kitambo sana..
Mkuu unauliza Wizara Tanzania Nchi ambayo wanaokwenda huko ni kama Teuzi tu sio Vipaji inawezekena kweli Tanzania hatuna wanaoweza kukimbia miaka yote wapya kama wenzetu wengine wanavyofanya vijana wapya wakienda wanarudi hata na Bronze au Gold..miaka nenda rudi Rais wa hicho chama ni huyo huyo kama Issah Hayatou na CAF..GT ni shilingi ngapi Olympic wanatoa? Lakini sibkuna wizara ya michezo na utamaduni?
Huyo Bayi japo simjui kiundani ila ni dhairi hastahili kuendelea kuwepo hapo kwenye hiyo nyadhifa atolewe hata kwa nguvu... kwa mambo tunayoyaskia kuhusu yeye sasa inatoshaKuna watu wanajuwa kuroga, huwa wanasahaurika kabisa kujadiliwa, hatimaye Bayi naye amefikiwa.