Laiti Serikali ingejua yaliyo moyoni mwa nguli wa Riadha Filbert Bayi wasingemkumbatia. Huyu mwamba ndiye muuaji wa vipaji vya riadha Tanzania

Yaani kijitu kimoja kinasumbua na kuvuruga issue inayohusu nchi nzima Kwa ajiri ya njaa zake tuu na ignorance, kwani hakuna committees, courts au ministry ya kuangalia na kuchukulia hatua na kurekebisha hili jambo, mbona kitu rahisi sana, na wale TOC wako wapi
 
Olympics: How Kenyan-born athlete who was rejected at home won Gold for Bahrain​

Kenyan-born Winfred Yavi won the women’s Olympic 3,000 metres steeplechase gold medal for her adopted country, Bahrain, at the 2024 Paris Olympics. Yavi, who changed…

yavi

yavi

Sat, 10 Aug 2024 16:52:20 WAT
Kenyan-born Winfred Yavi won the women’s Olympic 3,000 metres steeplechase gold medal for her adopted country, Bahrain, at the 2024 Paris Olympics.

Yavi, who changed her nationality in 2014 and started representing Bahrain in 2016, dominated the race, setting an Olympic record time of 8 minutes 52.76 seconds.
 
Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
Kama sio unyoko ni nini?
 
Bypass mambo kama haya kijanja sana wala huna sababu ya kumlalamikia mtu yeyote yule.

Unafahamu Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais yaani President Supporters Network (PSN)?

Channel ndoto zako kupitia platforms zake hakika hakuna kitakachokuzuia.

Shiriki kwenye Programs zake mbalimbali yasio na idadi tena kwa muda wako unaona inafaa. Utaonekana.

Na kwa niaba ya Rais hakuna wa kukuzuia kwa figisu kwenye jambo lolote lile. Ushindwe mwenyewe tu.
Nawezaje kujifunza kwenye huu mtandao mkuu
 
Serikali kupitia tamisemi na wizara ya elimu ndio wameharibu vipaji vya michezo Tanzania.
Hakuna michezo shule za msingi hata za sekondari, hakuna viwanja vya michezo shuleni. Mfano Dar hakuna shule yenye kiwanja Cha michezo Wala mwalimu wa michezo. Sasa vipaji tutaviibua je?
 
Nimesoma Dar, moja ya sifa ya shule ilikuwa ni kuwa na kiwanja cha michezo.

Labda useme hizi shule za kata za ccm ndio wamejenga tu kama vituo vya watoto kwenda kupotezea buda.
 
Hello!
Moja kwa moja kwenye mada!
Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye mashindano tu.

Huyu kijana kama atatumia muda wake wote au muda mwingi kupiga tizi sure atafika mbali. Ajabu ni kwamba jamaa hakubahatika hata kufika popote. Viongozi ndio mwiba.

Soma Pia:
Kijana mwingine wa mbio ndefu jirani yetu kule Lindi miaka kama 10 nyuma aling'ara na aliweza kuvunja rekodi za manguli wa riadha wa Dunia akiwa hapahapa Bongo. Tulitegemea angefika mbali. Kijana akiwa kwenye Kambi kuelekea Olympic huyo niliyemtaja juu akamla kichwa kwa sababu za hapa na pale.

Hofu ni kwamba angevunja rekodi yake na labda angekosa heshima anayoipata sasa .
Serikali vijana hawana pa kusemea dukuduku zao. Mchunguzeni huyu Mzee. Mtanishukuru.
Simbu sasa anang'ara kwakuwa ametokea jeshini hivyo kapata fursa za nje kupitia mgongo wa jeshi na sasa hawezi kumzuia.

Filbert Bayi achunguzwe na ikibainika ni kweli alifanya hujuma yoyote ashitakiwe. Au awekwe pembeni kwa njia ya amani halafu tuone matokeo ya miaka 5 bila yeye.

Tuhuma hizi hazinishangazi sana. Mwaka 1977 alishindwa na Sebastian Coe katika mshindano fulani huko Uingereza. Mwaka unaofuata kulikuwa na mashindano ya Commonwealth (sijui kama bado yapo) huko Edmonton Canada. Sasa mtangazaji mmoja wa sauti ya Ujerumani akamhoji kuhusiana maandalizi yake na mashindano hayo ya commonealth kutetea medali yake. Mojawapo ya swali alilomwuliza ni iwapo bado ana nguvu za kutosha kushindana na chipukiz kama Sebastian Coe. Yeye jibu lake lilikuwa "huo ni wivu tu", yaani ni jibu lilikuwa so self-centered kiasi kuwa hata sisi tulipokuwa sekodari wakati huo tukaona jamaa kaharibu sana.
 
Hello!
Moja kwa moja kwenye mada!
Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye mashindano tu.

Huyu kijana kama atatumia muda wake wote au muda mwingi kupiga tizi sure atafika mbali. Ajabu ni kwamba jamaa hakubahatika hata kufika popote. Viongozi ndio mwiba.

Soma Pia:
Kijana mwingine wa mbio ndefu jirani yetu kule Lindi miaka kama 10 nyuma aling'ara na aliweza kuvunja rekodi za manguli wa riadha wa Dunia akiwa hapahapa Bongo. Tulitegemea angefika mbali. Kijana akiwa kwenye Kambi kuelekea Olympic huyo niliyemtaja juu akamla kichwa kwa sababu za hapa na pale.

Hofu ni kwamba angevunja rekodi yake na labda angekosa heshima anayoipata sasa .
Serikali vijana hawana pa kusemea dukuduku zao. Mchunguzeni huyu Mzee. Mtanishukuru.
Simbu sasa anang'ara kwakuwa ametokea jeshini hivyo kapata fursa za nje kupitia mgongo wa jeshi na sasa hawezi kumzuia.

Filbert Bayi achunguzwe na ikibainika ni kweli alifanya hujuma yoyote ashitakiwe. Au awekwe pembeni kwa njia ya amani halafu tuone matokeo ya miaka 5 bila yeye.
AFRICA HATA KAMA KAMA UNA KIPAJI KUTOBOA NI NGUMU SANA KAMA HUNA CONNECTION YA UHAKIKA. BABA YAKE KYLAN MBAPE ALIMPELEKA CAMEROON ILI ACHEZEE TIMU YA TAIFA HILO BADALA YA UFARANSA ILA JAMAA WAKAMDAI PESA KWANZA NDIO WAMPE NAFASI, AKAONA UJINGA AKAMPELEKA UFARANSA.

KUNA MWANARIADHA WA KENYA JUZI NILISOMA SEHEMU NA.YEYE ALIDAIWA PESA ILI ASHIRIKI MASHINDANO BADALA YAKE AKONA AKAIWAKILISHE QATAR
 
Afrika= dark
 
DUH! Nimepitia comment zote na hakuna hata moja iliyomtetea! Binafsi sifahamu lolote lakini ina-make sense manake nikiangalia majirani zetu wa Singida, Manyara, na Arusha na viguu vyao ni kama vile vimiguu vya Wakenya Ukanda wa Rift Valley na Waethiopia! Hawa wanaonekana wana similar genetic make up. Lakini Mkuu Kichuguu, kama background hapo inaonesha Bayi alizaliwa 1953, how come 1977 mtu aanze kuwa na shaka kama angeweza kupambana na damu changa wakati by 1978 alikuwa na miaka 25 tu?! Au ndo mambo ya zamani, unaweza kuta alizaliwa 1945 lakini kwa kukosekana na taarifa, mtu anaandikiwa umri wowote ule?!
 
Nimesoma Dar, moja ya sifa ya shule ilikuwa ni kuwa na kiwanja cha michezo.

Labda useme hizi shule za kata za ccm ndio wamejenga tu kama vituo vya watoto kwenda kupotezea buda.
Hiyo shule yako itakua Ni zile zilizojenhwa na wakoloni au za miaka ya sabini kurudi chini wakati elimu ilikua elimu kweli.
 
Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
Kumbe
 
Filbert Bayi achunguzwe na ikibainika ni kweli alifanya hujuma yoyote ashitakiwe. Au awekwe pembeni kwa njia ya amani halafu tuone matokeo ya miaka 5 bila yeye.
Point..!
Pia kama waalimu wa riadha hapa Tz tunaona hawakidhi matarajio, tuchukue kwa majirani zetu Kenya au kwingineko duniani wanakofanya vizuri kwenye mchezo huu.
Mbona mpira wa miguu tunachukua waalimu nje, riadha inashindikana nini!?
 
Hello!
Moja kwa moja kwenye mada!
Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye mashindano tu.

Huyu kijana kama atatumia muda wake wote au muda mwingi kupiga tizi sure atafika mbali. Ajabu ni kwamba jamaa hakubahatika hata kufika popote. Viongozi ndio mwiba.

Soma Pia:
Kijana mwingine wa mbio ndefu jirani yetu kule Lindi miaka kama 10 nyuma aling'ara na aliweza kuvunja rekodi za manguli wa riadha wa Dunia akiwa hapahapa Bongo. Tulitegemea angefika mbali. Kijana akiwa kwenye Kambi kuelekea Olympic huyo niliyemtaja juu akamla kichwa kwa sababu za hapa na pale.

Hofu ni kwamba angevunja rekodi yake na labda angekosa heshima anayoipata sasa .
Serikali vijana hawana pa kusemea dukuduku zao. Mchunguzeni huyu Mzee. Mtanishukuru.
Simbu sasa anang'ara kwakuwa ametokea jeshini hivyo kapata fursa za nje kupitia mgongo wa jeshi na sasa hawezi kumzuia.

Filbert Bayi achunguzwe na ikibainika ni kweli alifanya hujuma yoyote ashitakiwe. Au awekwe pembeni kwa njia ya amani halafu tuone matokeo ya miaka 5 bila yeye.
Ni ujinga na upumbavu kuwa na kiongozi mmoja tu kwenye hiyo kamati ya olimpiki miaka nenda!! Tangu watu wanazaliwa, mpaka wanazeeka na wengine kufa! Katibu mkuu wa TOC ni Filbert Bayi tu!!
 
GT ni shilingi ngapi Olympic wanatoa? Lakini sibkuna wizara ya michezo na utamaduni?
Mkuu unauliza Wizara Tanzania Nchi ambayo wanaokwenda huko ni kama Teuzi tu sio Vipaji inawezekena kweli Tanzania hatuna wanaoweza kukimbia miaka yote wapya kama wenzetu wengine wanavyofanya vijana wapya wakienda wanarudi hata na Bronze au Gold..miaka nenda rudi Rais wa hicho chama ni huyo huyo kama Issah Hayatou na CAF..
 
Kuna watu wanajuwa kuroga, huwa wanasahaurika kabisa kujadiliwa, hatimaye Bayi naye amefikiwa.
Huyo Bayi japo simjui kiundani ila ni dhairi hastahili kuendelea kuwepo hapo kwenye hiyo nyadhifa atolewe hata kwa nguvu... kwa mambo tunayoyaskia kuhusu yeye sasa inatosha
 
Filbert bay akae pembeni wapewe watu wanaojua nn maaana ya michezo yani tunakosa hata warusha mkukinafu yule jamaa aliyeimba unajua unanisikia keshapewa LC3000 sa hv katulia tuli anatega vidada tu coco beach kapewa wizara inamshinda c mziki si michezo
 
Back
Top Bottom