Lake Zone ni zone pekee nchini inaweza jitegemea na kuwa nchi

Kizazi sasa mnakibagaza kiswahili mnoo yaani....wameua H zote ....wakenya wanatushinda...sasa...utasikia Akuna...badala Hakuna....ayupo badala Hayupo.....shidaaa
mhimu mawasiliano yaeleweke hakuna tuzo ya ufasaha wa lugha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... Kumbe unakumbuka Uzi wake?... Aisee yule jamaa alikuwa anaandika vitu sijapata kuona....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... Kumbe unakumbuka Uzi wake?... Aisee yule jamaa alikuwa anaandika vitu sijapata kuona....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ hao MWASHITA wenyewe wakisoma uzi wa jamaa lazima washangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…