BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Ukifuatilia kwa siku kadhaa tangu Rais aende Korea Kusini, Idara ya Mawasiliano ya Rais haikuwa ikifanya kazi yake ipasavyo hasa kwa taarifa muhimu za kuja Tanzania. Hata mkanganyiko uliotokea VOA ulitokana na kusuasuaa kwa kitengo cha propaganda kwenye mawasiliano kati ya Ratiba za Mama na Media
Mpaka media zinaamua kuandika chochote maana yake hakuna Taarifa sahihi kwa wakati sahihi.
Tuachane na hilo. Zuhura hakuna alichobadili kwenye sura ya mawasiliano, kuanzia Barua za Ikulu, Quality ya Picha, Video za Rais kuna wakati alienda Live akakosea na kusikika akisema kata ni dhahiri hakukuwa na maandalizi mazuri.
Pia, kuna wakati kwenye matukio ya live, team yake ilikuwa inasuasua kwamba media zinakuwa mbele kuripoti matukio kabla ya timu ya comms ya Rais.
Angalia Page ya Ikulu kupitia X (Twitter) hadi leo inaitwa Ikulumawasliano badala ya Mawasiliano (ingeweza hata kuwa Ikulu_Tanzania, StateHouseTZ, IkuluHouseTZ, IkuluTZA, IkuluPress au zaidi, hata handles za tu social media walikwamba kuziunda. (Ushamba na Zero Creativity).
Kwanini walishindwa hata kumwanzishia Rais Hotuba hata za every 2 Weeks au kila wiki kuongelea lolote? Ilifika kipindi mkuu wa kaya anakaa hadi mwezi hayuko kwenye press matokeo yake hadi rumors za ajabu zinaibuka.
Kimsingi hakuwa strategically smart kwenye kudeal na masuala ya Media kiujumla. Nadhani kufanya kazi BBC haikuwa sifa muhimu kwenye uteuzi wake. Ile nafasi inahitaji mtu anayecheza na speed ya vitu na asiyepuuza jambo lolote.
Naweza sema kwa sasa ile nafasi inahitaji watu kama Taji Liundi, Godwin Gondwe au Mobhare Matinyi
Anyway amekula teuzi nadhani ni nafasi ya asante ila hakuiweza ile nafasi.