Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mawasliano.Ikulu Mawasiliano ina ubaya gani? Nimeshindwa kuelewa.
Hawajui Kiswahili cha Unguja hao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawasliano.Ikulu Mawasiliano ina ubaya gani? Nimeshindwa kuelewa.
Mkuu nimekuelewa asante.Unasema hayo kwa kuwa hujui namna serikali inavyofanya kazi. Msemaji wa Ikulu hana mamlaka ya kuongelea kuhusu matatizo ya umeme wala kujibu hoja za ujumla za wananchi wakati mawaziri wa sekta na makatibu wakuu wapo. Msemaji mkuu wa wizara ni katibu mkuu akisaidiwa na msemaji wa wizara, siyo mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu. Msemaji wa serikali anaweza kusaidia wizara hizi kutoa ufanunuzi lakini nafasi ya mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu haitoi fursa hiyo. Kwa miaka mingi tumeshauri kuwepo mabadiliko ya muundano wa kutoa taarifa wa serikali lakini mapendekezo yote yamedharauliwa.
Sasa tuone kama kuondoka kwa Zuhura kutapelekea Samia kuacha kushambuliwa au msemaji ajaye ataweza kumtetea.