ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
She is very incompetent
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile kitengo kinafaa watu waliokubuhu kwenye propagandaHiyo nafasi sisi Tunashauri ampe bab levo na mwijaku maana hii nchi kwa sasa haitaki Watu wenye akili kubwa. Inahitaji watu wajinga wajinga wa hovyo hovyo na ndio wanaopendwa na watu huko kwa mainstream media na social media.
Ujinga wa mtu kwa sasa ndio content nzuri kwenye media zote hadi TBC. ifike mahali sasa BABA LEVO NA MWIJAKU AU DOTO MAGARI WAPEWE HICHO KITENGO KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU, HATA IKIMPENDEZA MHESHIMIWA RAIS WETU KIPENZI AMTEUE HATA MANARA.
KAZI YANGU DALALI NI KUDALALIA TU. ZUHURA HAKUZOEA KUYUMBISHA AU KUSEMA UONGO
kama msigwa au kabudiKile kitengo kinafaa watu waliokubuhu kwenye propaganda
Yaa hao wanawezakama msigwa au kabudi
Hii ina maana gani, mkuu?huwezi kujenga "brand" ya rais ambaye hana "brand"
Serving fellow incompetent bossShe is very incompetent
Wa serikaliMsemaji wa ikulu na msemaji wa serikali kiitifaki nani mkubwa? Tuanzie hapo kwanza
Yes a bunch of incompetentServing fellow incompetent boss
PhD ya mwendazake.Nchi ya Kwanza kuteua MAREHEMU hizi athari za PHD fake pale korea
Mzee wa jalalanikama msigwa au kabudi
Mteuzi alipata urais kwa upendeleo (sio kwa uwezo) naye akamteua Yunus kwa kuangalia jinsia na sio uwezo.Ukifuatilia kwa siku kadhaa tangu Rais aende Korea Kusini, Idara ya Mawasiliano ya Rais haikuwa ikifanya kazi yake ipasavyo hasa kwa taarifa muhimu za kuja Tanzania. Hata mkanganyiko uliotokea VOA ulitokana na kusuasuaa kwa kitengo cha propaganda kwenye mawasiliano kati ya Ratiba za Mama na Media
Mpaka media zinaamua kuandika chochote maana yake hakuna Taarifa sahihi kwa wakati sahihi.
Tuachane na hilo. Zuhura hakuna alichobadili kwenye sura ya mawasiliano, kuanzia Barua za Ikulu, Quality ya Picha, Video za Rais kuna wakati alienda Live akakosea na kusikika akisema kata ni dhahiri hakukuwa na maandalizi mazuri.
Pia, kuna wakati kwenye matukio ya live, team yake ilikuwa inasuasua kwamba media zinakuwa mbele kuripoti matukio kabla ya timu ya comms ya Rais.
Angalia Page ya Ikulu kupitia X (Twitter) hadi leo inaitwa Ikulumawasliano badala ya Mawasiliano (ingeweza hata kuwa Ikulu_Tanzania, StateHouseTZ, IkuluHouseTZ, IkuluTZA, IkuluPress au zaidi, hata handles za tu social media walikwamba kuziunda. (Ushamba na Zero Creativity).
Kwanini walishindwa hata kumwanzishia Rais Hotuba hata za every 2 Weeks au kila wiki kuongelea lolote? Ilifika kipindi mkuu wa kaya anakaa hadi mwezi hayuko kwenye press matokeo yake hadi rumors za ajabu zinaibuka.
Kimsingi hakuwa strategically smart kwenye kudeal na masuala ya Media kiujumla. Nadhani kufanya kazi BBC haikuwa sifa muhimu kwenye uteuzi wake. Ile nafasi inahitaji mtu anayecheza na speed ya vitu na asiyepuuza jambo lolote.
Naweza sema kwa sasa ile nafasi inahitaji watu kama Taji Liundi, Godwin Gondwe au Mobhare Matinyi
Anyway amekula teuzi nadhani ni nafasi ya asante ila hakuiweza ile nafasi.
View attachment 3010629View attachment 3010630View attachment 3010631View attachment 3010632
Unasema hayo kwa kuwa hujui namna serikali inavyofanya kazi. Msemaji wa Ikulu hana mamlaka ya kuongelea kuhusu matatizo ya umeme wala kujibu hoja za ujumla za wananchi wakati mawaziri wa sekta na makatibu wakuu wapo. Msemaji mkuu wa wizara ni katibu mkuu akisaidiwa na msemaji wa wizara, siyo mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu. Msemaji wa serikali anaweza kusaidia wizara hizi kutoa ufanunuzi lakini nafasi ya mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu haitoi fursa hiyo. Kwa miaka mingi tumeshauri kuwepo mabadiliko ya muundano wa kutoa taarifa wa serikali lakini mapendekezo yote yamedharauliwa.Zuhura hakufanya kazi yake kama inavyompasa, Kurugenzi ya habari Ikulu ilikuwa inashindwa kujibu hoja za wazi wazi za wananchi.
Kuna wakati tulikuwa tunasubiri kauli ya rais ili kujibu sintofahamu za umeme.
Rais alikuwa kimya na kurugenzi ya mawasiliano haikujitokeza.
Tulikuwa tunadanganywa na mawaziri mara umeme utapatikana januari mosi, mara mwezi march.
Wananchi walitaka kujua chanzo cha tatizo ni nini, uhaba wa umeme au ubovu wa miundombinu?
Rais atafute mtu makini atakayemsaidia.
Jafar Haniu na Zuhura wote hawakuwa na uwezo.
Kufanyakazi BBC au DW siyo kigezo cha uwezo wa kazi hiyo, Salva Rweyemamu amefanyia Uhuru na Habari Corporation lakini alijitahidi kuzibeba changamoto za wakati wake.
Hapa uzidisha sasa na ww, kwan angebadilisha username ndio ingekuwa ufanisi kwa kazi yake.?
N Bc tuu mtoa mada amponde zuhuraIkulu Mawasiliano ina ubaya gani? Nimeshindwa kuelewa.
Ni vigumu kum brand mtu asiyeweza ku brandika.Ukifuatilia kwa siku kadhaa tangu Rais aende Korea Kusini, Idara ya Mawasiliano ya Rais haikuwa ikifanya kazi yake ipasavyo hasa kwa taarifa muhimu za kuja Tanzania. Hata mkanganyiko uliotokea VOA ulitokana na kusuasuaa kwa kitengo cha propaganda kwenye mawasiliano kati ya Ratiba za Mama na Media