TANZIA Lala Salama Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro

Hawajui Lolote Glady na KG wameanza Kitambo Wakati Huo Glady anasoma CbE, Hayo ya Mange Ni Uongo Tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ya mange siyajua, ila namfahamu Glady tangu yupo dodoma CBE mpaka akapewa mimba na Charles and at the same time charles akawa anaishi na Lisa pale mjengoni, baadae Glady akaja akahamia dar, Lisa akaolewa na mdogo wake Masha sijui hata ikiishia wapi🤣🤣 sema nilipoteana na Glady, namjua pia dada yake Charles anaitwa juliana
 
Kumbe alikuwa kiwembe #Lisa wa #Bongomovie
 
Angestuka mapema apangiwe kituo kingine cha kazi, hivi tunakwama wapi wazenji wamempa Red
 
Hapana, sio Lisa wa bongo movie, ni dada fulani hivi kwa jina lingine wanamwita Vero, Charles alikua haambiwi kitu kwa Vero sema Vero alikuja kumfanyia suprise
Suprise ya kumuacha
 
Suprise ya kumuacha
Sio tu kumuacha, enzi hizo Masha waziri wa mambo ya ndani, aliachwa na aliiitwa kupigwa mkwara juu ili akae mbali na Lisa maana nae alikua mbabe alikua mtu wa kumtishia kila mtu...yaani yeye kukutolea bastola kukwambia ntakuua ni simple especially ukimsogelea Lisa

Mkwara wake ulikua kama wa DeepPond ukimsogelea mama Jasmine
 
Kama huko Tccm makachero ndio dizaini ya wewe mtoa mada basi nchi hii ngumu sana.

Mara kafa mzena mara kafa kwao Mara? Lipi ni lipi ndugu kachero?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…