Kama ndivyo wacha afe tu..!Mkakaro huyu huyu aliekuwa pale jumba jeupe au? Mimi nilimfahamu kwa jina la Charles Mkakaro au baba Glady, bado mdogo nini kimemkuta?
Sema jamaa alikua anapenda kutishia watu maisha, zile za unanijua mimi alikua nazo sana
Ulisha olewa au bado..?R.i.p
Secret sio secreteUnaelewa maana ya 'secrete' ?
Kama ni hivyo namuonea huruma sana Charles Hillary, angebaki tu Azam.Take it, jamaa kazidiwa kete na wazenji si unafahamu walivyo na majungu kwa watu wa bara. Tena kwa position aliyokuwepo makombora yalikuwa yanatupwa usiku kucha huwenda alijichanganya akanasa kwa kombora moja ndio maana akafutika.
Tulia wewe mgerasiAcheni Uchawi
Mnajinasibu usalama usalama kumbe ndio mnalogana balaa
Muislamu huyo hawa jamaa wanapendana sana mkiristo ukiwa huko wanakutemea mate, nilikaa miezi sita nikaondoka huko wabaguzi sana hawa wavaaa pedoAcha kelele mingi rudisha hii avatar picha
Kama ni hivyo namuonea huruma sana Charles Hillary, angebaki tu Azam.
Charles Hillary ni muislamu?Muislamu huyo hawa jamaa wanapendana sana mkiristo ukiwa huko wanakutemea mate, nilikaa miezi sita nikaondoka huko wabaguzi sana hawa wavaaa pedo
Ndizo alizoziona sahihiKwahiyo aliacha tiba sahihi akaenda kwenye tiba za kulala juu ya mawe!
Sasa mbona unawastua??? Wewe vipi??........Ungeacha tu tuendelee kuwafahamu........
namba zake tafadhari shemeji yetu nimpe pole
Naona umetuachia na namba ya simu
Correction: Hakuna mtu asiejulikana Duniani. Hao secret security officer wanajulikana sema hawajulikani kwa watu wote ila wanajulikana.na pia anatakiwa afahamu kuna public security officers na pia kuna secrete security officer.
public security officers wanajulikana na jamii hawa mfano ni walinzi wa viongozi na watendaji wengine wa tiss kama ma DSOs ,RSOs na DG wa TISS ma secret security officer hawa hawajulikani na hawatakiwi kujulikana
Inasikitisha sana mkuu.Hapa ndo nagundua kwamba kwann hatuendelei Kama taifa hata idara nyeti raslimali watu wake hawaamini ktk science ya utabibu ........kituko Sana
Correction: Hakuna mtu asiejulikana Duniani. Hao secret security officer wanajulikana sema hawajulikani kwa watu wote ila wanajulikana.
Informers, intelligence officers qote wanajulikana ila sio kwa public, kwa very few circle of people.
Kutokujulikana Duniani ni kitu ambacho hakiishi.
Ndg yangu usisikie Mtu kuumwa alafu anakwenda Hospital anafanyiwa vipimo vyote,alafu anaambiwa mbona hakuna kitu, mbona utaangaika sana,hata ukiiambiwa twende tukanywe kikombe kwa Babu utakwenda tu!!Inasikitisha sana mkuu.
Watanzania wengi bado wanaamini ushirikia, uchawi, ulozi nk. Hayo mambo hayapo mahala popote Duniani ila bado yana nafasi kubwa kwenye mioyo ya watu hasa Tanzania.
Kuwa makini na " H '
Inamaana hakufuatilia kujua nini kilimkuta mwendazake baada ya tiba hiyo ya kulala juu ya mawe.Ndizo alizoziona sahihi