💯nimekulia river saidi nimecheza sana mule ndani kwenye kituo chake cha maombezi!!! Ila ukweli usemwe ukishaanza kuwa muumini wa lile kanisa kuna mawili usipo kuwa zezeta basi utaanza kutembea kwa kuchechemeea!!! Mnisamehe ntakao wakwaza
Ndio, mimi marehemu wazazi wangu walikuwa waumini pale, nimesali pale sana, ninajua ninachokisema si kusimuliwa. Ilifikia hatua father hayupo alikuwa hija namugongo, baba amefariki, mama anampa taarifa kwenye simu huku amepiga magoti. Nisiseme mengi.Unaweza kudhibitisha maji yanayotumika kusafishia vyoo ni maji ya baraka??
No research no comment, (kama hujafanya uchunguzi wa kina usitoe maoni kuepuka kusema uwongo, ni dhambi)
Aliyepiga simu si mimi ni mzazi, unajua ukiwa muumini unakuwa kama umetekwa kiakili, mgonjwa hakuwa mahututi ila huwezi jua mgonjwa ana shida gani kwenye kituo cha maombezi. Utajua mgonjwa ana shida gani kwenye kituo cha afya. Kufia hospitali ni kawaida si Sawa na kufia kwenye kituo cha maombezi.Ndio maana nimekwambia ufanye research kwanza, lile sio kanisa ni KITUO CHA HUDUMA ZA MAOMBEZI.
Pili, una mgonjwa mahututi kilichokufanya umpigie simu Father kwanza badala ya kumpigia simu daktari ni nini??
Tatu, na je ungemkimbiza hospitalini akafia mikononi mwa daktari nae ungemlaumu??
swala la kuombewa na kupona linahitaji IMANI, hata wakati wa Bwana Yesu hawakuponywa wote na walioponywa waliambiwa, "ENENDA ZAKO IMANI YAKO IMEKUPONYA."
Ni ukatoliki ondoa RKwenye Ukatoriki, Yeyote anayetamani kuwa Padre anaweza kuwa Padre, wapo Mapadre ambao Wazazi wao waliwalazimisha kwenda Seminari, Kuna wengine wamekua Mapadre Kwa sababu aliona Baba mdogo, Mjomba, n.k Kawa Padre...!
Na katika Mapadre wapo ambao wameitwa kabisa kumtumikia Mungu, na ndiyo hao wanakua na Karama za Uponyaji n.k.....!
Ila ukija Kwa Watumishi wa Mungu Kama kina Mwalimu Mwakasege, kwao Uchungaji haukua chaguo, ila waliitwa wakiwa kwenye Shughuri za zingine, na ilibidi waache Shughuri zao kumtumikia Mungu, na Wachungaji Aina hii hawahitaji kwenda Chuo Cha Biblia kumjua Mungu, hawahitaji kusoma Theology n.k, Mungu mwenyewe huwafundisha watu Hawa Kwa njia tofauti.
Hutokea Kwa Watu kama kina Marehemu Father Nkwera, ule wito ndani Yao, ule Moto ndani Yao unakua unafukuta, Roho wa Mungu anakua amefinywa kufanya kazi yake, ndiyo Wachache wa Aina yake wanaamua liwalo na liwe, na pale uongozi wa Kanisa unapogundua hawana chaguzi nyingine Zaidi ya kuwatenga watu wa Aina hiyo...!
Wanazo sababu zao, KKKT, Wasabato, Anglikana na Makanisa aina hiyo pia Yana sababu kama za Wakatoriki ila wao wamejitofautisha kidogo.
Cha Ajabu wote wawe Mapadre ama Wachungaji wanahubiri kuwa huu ni wakati wa Mwisho, na wengine husema tupo kwenye Dakika za Nyongeza, lakini Kuna Verse za Biblia wanazisoma na ama hawaziamini ama wanazipuuza, Kwa sababu sio wote wamepewa uwezo wa kuponya, wanaona si sawa.
Wanasahau
Matendo ya Mitume 2 : 17-21 inasema Nini....!!!
Bado sijapata jibu hapo, juu ya maji ya baraka kutumika kusafishia vyoo.Ndio, mimi marehemu wazazi wangu walikuwa waumini pale, nimesali pale sana, ninajua ninachokisema si kusimuliwa. Ilifikia hatua father hayupo alikuwa hija namugongo, baba amefariki, mama anampa taarifa kwenye simu huku amepiga magoti. Nisiseme mengi.
Ndio maana pale si kanisa ni kituo cha maombezi, MUNGU ANAOMBWA, padri anaomba yeye si mponyaji, anayeombwa ndiye mwenye mamlaka ya ndio au hapana au subiri (imani, subira na matumaini), padri asibebeshwe lawama, pole kwa yote ila uelewa wa kina unahitajika.Aliyepiga simu si mimi ni mzazi, unajua ukiwa muumini unakuwa kama umetekwa kiakili, mgonjwa hakuwa mahututi ila huwezi jua mgonjwa ana shida gani kwenye kituo cha maombezi. Utajua mgonjwa ana shida gani kwenye kituo cha afya. Kufia hospitali ni kawaida si Sawa na kufia kwenye kituo cha maombezi.
Ndio maana nakwambia mzazi alikuwa na Imani lakini haikumponya mgonjwa akafia kwenye kituo.
Ni ukweli, tuliambiwa ingieni peku mpaka chooni kwa kuwa ni maji ya Baraka yametumika na yanatumika hamtopata magonjwaBado sijapata jibu hapo, juu ya maji ya baraka kutumika kusafishia vyoo.
huu ni uwongo, na pia usidanganye watu, maji ya baraka HAYATUMIKI kusafishia vyoo.
Unajua mtu ukimuaminisha kitu anakuwa na Imani sana, Padre sio kuomba au kuongoza kuomba pia ni mshauri na mrekebishaji panapotokea hata malumbano. Alitakiwa hata amshauri tu nenda hospitali, mkitoka huko mje tuombe lakini kwenda kwake haikuwa sahihi. Mtoto alikuwa mzuri sana yule naamini Mungu alimpokea.Ndio maana pale si kanisa ni kituo cha maombezi, MUNGU ANAOMBWA, padri anaomba yeye si mponyaji, anayeombwa ndiye mwenye mamlaka ya ndio au hapana au subiri (imani, subira na matumaini), padri asibebeshwe lawama, pole kwa yote ila uelewa wa kina unahitajika.
Kumbe Pengo akianza Kuwa mwanasiasa toka Zamani