technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Ila kuna kombe la robo fainaliHakuna kombe la UNBEATEN
Kamanda, tunazungumzia league hapa!Sudani yanga ilishinda goli ngapi?.
Sifa za kijingaLaliga wanawapongeza Yanga kuwa kucheza mechi 49 bila kupoteza.
Page ya Laliga yenye followers million 44 inawapongeza Yanga kwa kuweka record mpya Africa Mashariki na Kati, Africa na Dunia kwa ujumla! Hongera Yanga!View attachment 2433002