Laliga yaipongeza Yanga kuwa timu ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kucheza mechi 49 bila kufungwa

Laliga yaipongeza Yanga kuwa timu ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kucheza mechi 49 bila kufungwa

Hapo sasa unaongelea ubora wa ligi kwa ujumla., tukiangalia kwa mechi zote izo ambazo yanga amecheza kumekua na makosa mengi sana ya marefa na wachezaji wa timu pinzani kwa ligi nzima kiujumla yaani sio kwenye mechi za yanga tu nitakupa mifano michache makosa ya kipa wa singida big starz yaliyopelekea banda kufunga goli, makosa ya refa yaliyopelekea goli mzarimu kuruhusiwa wakati bocco alikua offside katika mechi ya simba vs mbeya city, makosa ya refa yaliyoipa azam penati isiyo halali, makosa ya nyosso yaliyosababisha red card ya kizembe kupelekea timu yake kuelemewa na kufungwa dhidi ya azam, makosa ya refa yaliyoipa yanga pemati isiyohalali dhidi ya geta gold n.k makosa yamekua yakitokea kwa ligi nzima kiujumla na ndipo hapo yanga akaweza kumaliza game 49 bila kufungwa tukisema makosa ya marefa na wachezaji wa timu pinzani ndio yamefanikisha unbeaten ya yanga basi inabidi tukubaliane katika mechi zingine tofauti na za yanga hayo makosa hayakuwepo kitu ambacho sio sahihi.. kwaiyo tueleane kuwa katika iyo iyo ligi ambayo kumekua na maamuzi ya utata ndio yanga akaweza kuwa unbeaten na timu zingine zikashindwa
Unahangaika na mbwiga
 
Back
Top Bottom