Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi wa Lamadi wakimdekia barabara Mhe. Tundu Lissu asubuhi hii
Kweli kwa HULKA za uchapakazi alizokuwa nazo. Lakini alitishika na matokeo ya 2015 maana anajua ukweli. Na ukweli ule ulikuwa ni tishio kuwa 2020 hachomoki. So ilimlazimu kufanya hivi alivyofanya akafata ushauri wa maharamia. Sasa inakula kwakeMagufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Tatu walipo anza watu wasio julikana hapa ndio nikakichikia kabisa ccm pamoja na rais hata kufanya uchunguzi wa kinafiki akaa kimya
Kiukweli siwezi kuchangua ccm tena naenda na lisu
Ccm ya Leo vijana haitusamini kabisa watu wapo mtaani tu ajira hakuuna ila watoto wao wanapewa ajira ila si wa huku mgombe vijijini tujiajili jamani
Naongea kwa uchungu sana ila ccm tutawafurahisha safari hii mtaiba hadi mtashindwa tu tutapiga kula za kimbunga haijawahi tokea
Kasema hashauriwi yeye au umesahau?Magufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Kabisa mzee alianza vizuri sana tukafalijika lakini kilicho tokea huwa siamini na alipo ondoka kinana tu wakaja hawa bashiru na mwenzake polepole nikajua hapa hamna kitu kabisa tunakwenda kuumiaKweli kwa HULKA za uchapakazi alizokuwa nazo. Lakini alitishika na matokeo ya 2015 maana anajua ukweli. Na ukweli ule ulikuwa ni tishio kuwa 2020 hachomoki. So ilimlazimu kufanya hivi alivyofanya akafata ushauri wa maharamia. Sasa inakula kwake
Nileteeeni GwajimaaaaaaWananchi wa Lamadi wakimdekia barabara Mhe. Tundu Lissu asubuhi hii
Kasema hashauriwi yeye au umesahau?
Team yake ya maangamiziKabisa mzee alianza vizuri sana tukafalijika lakini kilicho tokea huwa siamini na alipo ondoka kinana tu wakaja hawa bashiru na mwenzake polepole nikajua hapa hamna kitu kabisa tunakwenda kuumia
Magafuli hashauriki, hivyo waliomzunguka walikuwa wanamwambia yale anayopenda kuyasikia, hao mnaowaita washauri mnawabebesha msalaba usio wao,Magufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Tatu walipo anza watu wasio julikana hapa ndio nikakichikia kabisa ccm pamoja na rais hata kufanya uchunguzi wa kinafiki akaa kimya
Kiukweli siwezi kuchangua ccm tena naenda na lisu
Ccm ya Leo vijana haitusamini kabisa watu wapo mtaani tu ajira hakuuna ila watoto wao wanapewa ajira ila si wa huku mgombe vijijini tujiajili jamani
Naongea kwa uchungu sana ila ccm tutawafurahisha safari hii mtaiba hadi mtashindwa tu tutapiga kula za kimbunga haijawahi tokea
We mnafiki utakufa kwa presha. Mambo yanayotokea huko field huyaoni?? Magufuli atatapika damu mwaka huu.mnashinda mitandaoni mnadhani ushindi ndio unapatikana humu