Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Aisee mpaka chozi limenitoka.
Kwa sababu wanaoshabikia Chadema wanaonekana na watawala. Na I'm sure viongozi wao wa maeneo hayo wanawaona wanavyoishabikia Chadema.
I'm sure they will have hard times ahead. Sana tena. Maskini Lissu atakua kashaondoka. Tuseme na Lissu akashindwa na uchaguzi. Life baada ya hapo haitakua sawa kwa baadhi yao. I feel aisee kwa hawa watu.
Ila Mungu atawasaidia.
Sometimes I wonder why enzi za Kikwete na Mkapa uonevu wa waziwazi ulikua haufanyiki jamani.
Basi kama vipi vyama vingi tufute mpk Magufuli amalize uraisi.