Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kamanda Asante tunasubiri tarehe 28 msikimbie jukwaa hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufurhiwa siyo kupewa kura. Tukumbuka mafuruko ya 2015 ambayo bado hayakumpa kur mgombea wa CHADEMA wakati huoMagufuli na ccm wanatamani haya angekuwa anafanyiwa yeye. Anashangaa mtu ambaye hajajenga hata kisima kimoja cha maji anafurahiwa sana hivi. Dhambi ni mbaya sana. Zinakutenga na upendo wa Mungu.
Bado watanzania wanaendelea kufikiri ushindi wa kishamba wa kukimbia na masanduku ya kura ili kuiba ushindi.CCM wapuuzi sana, hivi ninyi mnaishi sayari gani? Laurent Gbagbo wa Ivory cost na dikteta mwenzake wa Gambia waling'oka vipi? Magufuli anawashinda ubabe wale Washenzi?
Zama zimebadirika, hata ninyi mnaotegemea KUPORA na KUKIMBIA na masanduku ya kura mtashangazwa sana safari hii.
Ratiba yake imekaa vizuri.Akimaliza Mikoani kijiwe kinahamia Dar mpaka siku ya uchaguzi
Kweli alishindaHata Mzee alidekiwa balabala, rakini akushinda ulais. Kwahiyo ni utopolo mtupu tu
Bado watanzania wanaendelea kufikiri ushindi wa kishamba wa kukimbia na masanduku ya kura ili kuiba ushindi.
Nakumbuka nikiwa mtwara nilimshuhudia Huyu waziri wetu mkuu enzi hizo akiwa mwalimu akifanikisha kutorosha masanduku ya kura za uraisi kwa usimamizi wa Meck sadiq aliyekua mkuu wa pale wakati ule wakirumia gari aina ya Izuzu pick up mali(van) mali ya kampuni ya Muhamad enterprises.
Hapa ndipo alipopatia uteuzi wa ukuu wa wilaya aliyoteuliwa na Mh Kikwete.
Zamani zile kwa sasa zimebadilika, na hata huu ubunge majaliwa aliyopora haki ya watu kuchagua na kuamua kuwatawala kinguvu asistaajabu atakapo utapika kwenye kulazimishwa kuuacha kwenye vyombo halali vya kisheria vitakapokuwa huru kutenda haki
Lissu akiapishwa anaanza na Katiba mpya na Chaguzi kidogo kwa wale wote walioenguliwa kinazi
Well SpokenMagufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Tatu walipo anza watu wasio julikana hapa ndio nikakichikia kabisa ccm pamoja na rais hata kufanya uchunguzi wa kinafiki akaa kimya
Kiukweli siwezi kuchangua ccm tena naenda na lisu
Ccm ya Leo vijana haitusamini kabisa watu wapo mtaani tu ajira hakuuna ila watoto wao wanapewa ajira ila si wa huku mgombe vijijini tujiajili jamani
Naongea kwa uchungu sana ila ccm tutawafurahisha safari hii mtaiba hadi mtashindwa tu tutapiga kula za kimbunga haijawahi tokea
Labda kama mnapanga kung'ang'ania kwa nguvu lakini maandishi yako ukutani Mene peresiKama Rais wa mitandaoni hahaha
Huwezi kujua tabia ya mke ni Hadi uishi naeHaya yote hatukuyajua mwanzo
Sio mara ya kwanza kuona sarakasi za kudeki barabara....mwisho wa siku mpira kwapaniMagufuli na ccm wanatamani haya angekuwa anafanyiwa yeye. Anashangaa mtu ambaye hajajenga hata kisima kimoja cha maji anafurahiwa sana hivi. Dhambi ni mbaya sana. Zinakutenga na upendo wa Mungu.
Sio mara ya kwanza kuona sarakasi za kudeki barabara....mwisho wa siku mpira kwapani
Mkuu umenchanganya. Shetani ni nani watawala?? Hahahaha.Shetani akimbiwi, hukabiliwa kwa maombi
Wananchi wa Lamadi wakimdekia barabara Mhe. Tundu Lissu asubuhi hii