Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Magufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Tatu walipo anza watu wasio julikana hapa ndio nikakichikia kabisa ccm pamoja na rais hata kufanya uchunguzi wa kinafiki akaa kimya
Kiukweli siwezi kuchangua ccm tena naenda na lisu
Ccm ya Leo vijana haitusamini kabisa watu wapo mtaani tu ajira hakuuna ila watoto wao wanapewa ajira ila si wa huku mgombe vijijini tujiajili jamani
Naongea kwa uchungu sana ila ccm tutawafurahisha safari hii mtaiba hadi mtashindwa tu tutapiga kula za kimbunga haijawahi tokea
Kagame ndie aliyempoteza alidhani principal za kuongoza rwanda ni the same za kuongoza tz.Alianza vizuri Sana kabla ya kulewa pombe
 
Kweli kwa HULKA za uchapakazi alizokuwa nazo. Lakini alitishika na matokeo ya 2015 maana anajua ukweli. Na ukweli ule ulikuwa ni tishio kuwa 2020 hachomoki. So ilimlazimu kufanya hivi alivyofanya akafata ushauri wa maharamia. Sasa inakula kwake
Toka lini amekuwa mchapakazi zaidi ya propaganda kutumia ukali kufichia udhaifu wake, ujenzi ndio wanamjua zaidi hamna kitu pale bora angalau angebakia kwenye kuhesabu kilometers za barabara tu huku anapwaya Sana bila yule mwizi mwenzake waliyeiba wote nyumba zetu za serikali Hadi kuwagawia mahawara zao asingepata nafasi ya kutesa na kuumiza watz.
 
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Gwajima nenda naye Chato. Kawe hapati kura. Tunajiunga na wajumbe wa kura za maoni kumkata mkia tena. Nenda naye msukuma mwezako mkaendeshe midoli Chato international airport.
 
Naona na saizi uswahiba umeisha kabisa na huyu alichangia kumpoteza kabisa
Labda aliona mwanafunzi kichwa kinakuwa kikubwa kuliko Mwalimu.
Yule mtu mrefu ameiharibu Sana East Africa.
 
Gwajima nenda naye Chato. Kawe hapati kura. Tunajiunga na wajumbe wa kura za maoni kumkata mkia tena. Nenda naye msukuma mwezako mkaendeshe midoli Chato international airport.
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Hamnionei hata huruma sauti hadi inakauka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Kosa lako lipo hapa.

Wewe unaamini yeye hana akili za kufikiri na kuamua mambo, bali washauri wake ndio wanaomlazimisha ayakubali hayo wanayomshauri yeye.

Pili, hufikirii chochote kuhusu uteuzi wa watu wa aina hiyo?

Ungejiuliza kwanza kwa nini anateua watu wenye tabia hizo unazoona wewe kuwa ni mbaya? Huoni kwamba anapoteua anatafuta watu wenye tabia hizo anazopenda yeye? Kwa nini asiteue watu kama wewe kuwa washauri wake wasiopendezwa na mambo hayo mabaya.

Mimi kama wewe, nakubaliana nawe kabisa kwamba Magufuli angekuwa rais mzuri sana kama hizi tabia za mambo mabaya asingekuwa nazo.

Ni tabia zake, usiwasingizie washauri wake.
 
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji84
Hamnionei hata huruma sauti hadi inakauka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaaaa!!!
 
Naona na saizi uswahiba umeisha kabisa na huyu alichangia kumpoteza kabisa
Inasemekana Mwalimu kampiga student mzigo wa maana aliouficha kwa ticha, na kupelekea student kutotaka tena kusoma tuition baada kuliwa ada. Ticha ni janja janja Sana.
 
Back
Top Bottom