Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Hakuna tv, hakuna gazeti? Hakuna redio wala hakuna gari la matangazo.

Yesu akasema" viwete wanapona , vipofu wanapona"
Ni baada ya wayahudi kuwa wanauliza uliza kwani huyu ndiye yesu mwenyewe au Tusubirie mwingine?? Hakuwajibu kama.yeye ndiye bali aliwajibu kuwa wakamwambie Yohana mbatizaji hivyo.
 
Bado watanzania wanaendelea kufikiri ushindi wa kishamba wa kukimbia na masanduku ya kura ili kuiba ushindi.
Nakumbuka nikiwa mtwara nilimshuhudia Huyu waziri wetu mkuu enzi hizo akiwa mwalimu akifanikisha kutorosha masanduku ya kura za uraisi kwa usimamizi wa Meck sadiq aliyekua mkuu wa pale wakati ule wakitumia gari aina ya Izuzu pick up(van) mali ya kampuni ya Muhamad enterprises.
Hapa ndipo alipopatia uteuzi wa ukuu wa wilaya aliyoteuliwa na Mh Kikwete.
Zama zile kwa sasa zimebadilika, na hata huu ubunge majaliwa aliyopora haki ya watu kuchagua na kuamua kuwatawala kinguvu asistaajabu atakapo utapika kwenye kulazimishwa kuuachia kwenye vyombo halali vya kisheria vitakapokuwa huru kutenda haki
Kabisa Mkuu, silaha pekee ya CCM kwa sasa ni kufanya hujuma siku ya kupiga kura. Kwa kufanya KAMATAKAMATA ya Mawakala, kuzuia wasiwepo kwenye mchakato, kuwanyima nakala na kupora na KUKIMBIA na masanduku ya kura.
 
Hakuna tv, hakuna gazeti? Hakuna redio wala hakuna gari la matangazo.

Yesu akasema" viwete wanapona , vipofu wanapona"
Ni baada ya wayahudi kuwa wanauliza uliza kwani huyu ndiye yesu mwenyewe au Tusubirie mwingine?? Hakuwajibu kama.yeye ndiye bali aliwajibu kuwa wakamwambie Yohana mbatizaji hivyo.
nyomi kama hili hutoliona kwenye TV saa 2 usiku. wataonyeshwa mpaka wagombea wa TADEA lakini sio Lissu.kujikosha sana wanamuonyesha Mwalimu
 
Kabisa Mkuu, silaha pekee ya CCM kwa sasa ni kufanya hujuma siku ya kupiga kura. Kwa kufanya KAMATAKAMATA ya Mawakala, kuzuia wasiwepo kwenye mchakato, kuwanyima nakala na kupora na KUKIMBIA na masanduku ya kura.
Nayo itashindwa tu. Kqani mpaka sasa wameshindwa mangapi?? Tena ambapo wako wamejipamga wakiwa organized kwa nguvu nyingi?? Siku ya uchaguzi kila mkoa, kila jimbo, kila kata itakuwa kivyake.
 
nyomi kama hili hutoliona kwenye TV saa 2 usiku. wataonyeshwa mpaka wagombea wa TADEA lakini sio Lissu.kujikosha sana wanamuonyesha Mwalimu
Wala hatuhitaji tena. Watanzania wanaongalia tv sasa hivi wote wanamuona Live kwenye majimbo yao na mahali walipo.

Matv waliona yana maana sana. Lissu amevuka kila mipaka.

Chains breaker.
 
Huyu jamaa aliyepiga spana ccm na magu wake anafaa sana kuwa mbunge
 
Wananchi wa Lamadi wakimdekia barabara Mhe. Tundu Lissu asubuhi hii

Jamani naombeni majibu aisee.
Mbona kama vile naona Lissu sijawahi msikia akisema Peopleeeeeeeeesssss.... Watu waseme poweeeeeeeeeerrrr...
Au kama haikubali hii
Hata juzi kati alipoenda usiku kule kibaha akasema uchaguzi uko kwenye makaratasi mnayosaini sio mnapiga tu peoples power majukwaani huku hamjasoma kilichoandikwa mnapo sign.
 
Aisee mpaka chozi limenitoka.
Kwa sababu wanaoshabikia Chadema wanaonekana na watawala. Na I'm sure viongozi wao wa maeneo hayo wanawaona wanavyoishabikia Chadema.

I'm sure they will have hard times ahead. Sana tena. Maskini Lissu atakua kashaondoka. Tuseme na Lissu akashindwa na uchaguzi. Life baada ya hapo haitakua sawa kwa baadhi yao. I feel aisee kwa hawa watu.

Ila Mungu atawasaidia.
Sometimes I wonder why enzi za Kikwete na Mkapa uonevu wa waziwazi ulikua haufanyiki jamani.
Basi kama vipi vyama vingi tufute mpk Magufuli amalize uraisi.
KMMK waklai wewe fundi25 tangu nijiunge JF tarehe 9/9/2009 sijawahi pewa "dislike"
Dah ndio ushantia gundu hivyo Hem ifute basi au njoo pm nukupe hata bakhshishi ufute HAHAHAHAHAHAHAH
 
Kumbe hata kuandika hujui. Ndio maana CCM inawatumia wajinga kama nyie.

Ngoja nikusahihishe siku nyingine uandike vizuri.
Balabala....... Barabara
Rakini............lakini
Akushinda..... Hakushinda
Ulais.......urais
Huyo ni kilaza, kiazi aka empty brain
 
Magufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Tatu walipo anza watu wasio julikana hapa ndio nikakichikia kabisa ccm pamoja na rais hata kufanya uchunguzi wa kinafiki akaa kimya
Kiukweli siwezi kuchangua ccm tena naenda na lisu
Ccm ya Leo vijana haitusamini kabisa watu wapo mtaani tu ajira hakuuna ila watoto wao wanapewa ajira ila si wa huku mgombe vijijini tujiajili jamani
Naongea kwa uchungu sana ila ccm tutawafurahisha safari hii mtaiba hadi mtashindwa tu tutapiga kula za kimbunga haijawahi tokea
Umeongea ukweli mtupu.... Wajinga wajinga ndio walikuwa washauri wakuu... Sasa mtu kama Bashiru, Pole Pole, Kabudi, Mpango hawajawahi kufanya hata biashara ya nyanya leo hii ndio wawe washauri katika uchumi? Kweli!
 
Back
Top Bottom