Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Magufuri angekuwa Kati ya marais bora walio tawala Tanzania nazani alikosa washauri wazuri
Akafuata ushauri wa akina makonda na wengine wajinga wajinga kama kina gambo chalamila hapi muro sabaya hawa wamemuhalibia sana magufuri na yeye alifanya kosa kubwa kuwaacha
Tatu walipo anza watu wasio julikana hapa ndio nikakichikia kabisa ccm pamoja na rais hata kufanya uchunguzi wa kinafiki akaa kimya
Kiukweli siwezi kuchangua ccm tena naenda na lisu
Ccm ya Leo vijana haitusamini kabisa watu wapo mtaani tu ajira hakuuna ila watoto wao wanapewa ajira ila si wa huku mgombe vijijini tujiajili jamani
Naongea kwa uchungu sana ila ccm tutawafurahisha safari hii mtaiba hadi mtashindwa tu tutapiga kula za kimbunga haijawahi tokea
 
Kweli kwa HULKA za uchapakazi alizokuwa nazo. Lakini alitishika na matokeo ya 2015 maana anajua ukweli. Na ukweli ule ulikuwa ni tishio kuwa 2020 hachomoki. So ilimlazimu kufanya hivi alivyofanya akafata ushauri wa maharamia. Sasa inakula kwake
 
Kabisa mzee alianza vizuri sana tukafalijika lakini kilicho tokea huwa siamini na alipo ondoka kinana tu wakaja hawa bashiru na mwenzake polepole nikajua hapa hamna kitu kabisa tunakwenda kuumia
 
Wananchi wa Lamadi wakimdekia barabara Mhe. Tundu Lissu asubuhi hii
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mzee alidekiwa balabala, rakini akushinda ulais. Kwahiyo ni utopolo mtupu tu
 
Kabisa mzee alianza vizuri sana tukafalijika lakini kilicho tokea huwa siamini na alipo ondoka kinana tu wakaja hawa bashiru na mwenzake polepole nikajua hapa hamna kitu kabisa tunakwenda kuumia
Team yake ya maangamizi

1. Makonda
2. Ali happi
3. Muro
4. Gondwe
5. Chalamila
5. Ole semdeka
6. Sabaya
7.Gambo
8. Mwakyembe
9. Mwigulu
10.....etc
 
Magafuli hashauriki, hivyo waliomzunguka walikuwa wanamwambia yale anayopenda kuyasikia, hao mnaowaita washauri mnawabebesha msalaba usio wao,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…