Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
Waache Porojo, ujenzi wa chuo cha VETA wilaya ya Ubungo pale Kibwegere umesimama, wamalizie.

Lami inayokwenda kwenye hicho chuo mpaka leo haijajengwa na ni km 5 tu. SSH amuru watendaji wako wakamilishe ujenzi.
 
Kila siku watu hutoka mikoani kuja Dar unsyosema tunakula utumbo wa kuku Sasa huko walipotoka hao watu si wanakula michanga?
Dar ndio Tanzania ilipo kama 90% Wala utumbo basi nchi inahali mbaya
 
LAMI KILA MAHALI, NDIYO MAENDELEO YENYEWE HAYO, CHADEMA HAWAWEZI KUFURAHIA LOLOTE JEMA LIFANYWALO NA SEREKALI YETU PENDWA!,
#Already noted earlier!
#ccm pigeni kazi
#2030.
 
Sio kila kitu kupinga tu. Barabara ni chachu ya maendeleo mengine yote.
 
Mleta mada hawajui watu Dar Mihogo,utumbo wa kuku,miguu ya kuku,vichwa vya kuku ni vyakula.vinavyoliwa na wakazi wengi wa Dar

CHADEMA ilishindwa ubunge kinondoni sababu ya Godbless Lema kwenye hotuba alitukana watu mkutano wa Hadhara manzese akasema CCM imewatia umaskini ndio maana wanakula utumbo wa kuku,vichwa na miguu ya kuku vyakula visivyoliwa mikoa mingine.Wakamzomea na kura hawakumpa.

Mleta mada hivyo ni vyakula vya watu Dar miaka nenda rudi.Sasa hivi mihogo na wale dagaa wa nyumba ya Mungu kimeashaanza kuwa chakula kikubwa sana cha wachaga Moshi mjini kwa taarifa yako kimeshatambuliwa kama chakula rasmi mtu ananunua mihogo na dagaa mchana ndio lunch
Ni biashara kubwa sana .Mtu yeyote Moshi mjini aanzishe aone ina wachaga walaji wengi tu

Lema ni janga Chadema alishatukana hata bodaboda Arusha akasema kazi wanayofanya ya bodab9da siyo kazi ni laana.
 
Ndiyo, tuliozaliwa na kukulia Dar , sisi na wazee wetu.

Hivi hujuwi hata nyerere alikuwa wakuja, alikaribishwa na wenyeji wa Dar?

Wewe ni wa Dar au wakuja?
Mlimkaribisha akawazidi ujanja akawa Rais nyie mafala wazaliwa wa dar mnawaza utumbo wa kuku,vichwa vya kuku na dagaa mchanga!...
 
Mleta mada hawajui watu Dar Mihogo,utumbo wa kuku,miguu ya kuku,vichwa vya kuku ni vyakula.vinavyoliwa na wakazi wengi wa Dar

CHADEMA ilishindwa ubunge kinondoni sababu ya Godbless Lema kwenye hotuba alitukana watu mkutano wa Hadhara manzese akasema CCM imewatia umaskini ndio maana wanakula utumbo wa kuku,vichwa na miguu ya kuku vyakula visivyoliwa mikoa mingine.Wakamzomea na kura hawakumpa.

Mleta mada hivyo ni vyakula vya watu Dar miaka nenda rudi.Sasa hivi mihogo na wale dagaa wa nyumba ya Mungu kimeashasnza kuwa chskula kikubwa sana cha wachaga Moshi mjini kwa taarifa yako kimeshatambuliwa kama chakula rasmi mtu ananunua mihogo na dagaa mchana ndio lunch
Ni biashara kubwa sana .Mtu yeyote Moshi mjini aanzishe aone ina wachaga walaji wengi tu

Lema ni janga Chadema akili huwa hazimo alishatukana hata bodaboda Arusha akasema kazi wanayofanya ya bodab9da siyo kazi ni laana nadhani anavuta bangi
Mtu unakulaje miguu ya kuku!?....njaa tu
 
Back
Top Bottom