Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hapo kwenye lami kuna rushwa kubwa sn Mchengerwa atavutaNilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
View attachment 3135425
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye lami kuna rushwa kubwa sn Mchengerwa atavutaNilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
View attachment 3135425
Kama hizi ndo akili za kichadema basi hii ni shida sana .Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
View attachment 3135425
Too late.Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
View attachment 3135425
Lami bila hela?
Lami inaliwa sababu inasaidia huo utumbo wa kuku utawafikia walaji huko uswahilini Ukiwa fresh kabisa.Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
View attachment 3135425
Tatizo lilipo Tanzania na nchi nyingine nyingi za ki-Afrika siyo suala la makusanyo ya kodi, Bali tatizo ni kwamba tawala karibia zote kabisa zilizopo kwenye nchi za Afrika hazina kabisa nidhamu nzuri ya matumizi ya fedha za Kodi za wananchi wao. Watawala ni wafujaji wazuri Sana wa pesa za Kodi kwa matumizi mabaya, wizi, ufisadi, n.k.Tena siyo hela za Samia, ni hela za mkopo kutoka Benki ya Dunia WB.
Swali kuu kwanini wakaazi wa jiji la Dar es Salaam wasilipe kodi ya kutosha siyo ya kuzoa taka tu, bali hata za kutandaza lami, kukarabati shule za TAMISEMI, hospitali na ujenzi wa, miundo mbinu katika maeneo mapya ya jiji.
Lini miji yetu itajitegemea kwa kukusanya kodi zake za ndani ya majiji, manispaa na halmashauri badala ya kutegemea mikopo ya kimataifa na misaada ya watu wa Marekani, Korea ya Kusini na Japan?
Itaongeza hadhi/thamani ya maeneo
Ova
JK na Mkapa waliwekaga lami Dar?Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
View attachment 3135425
Wazee wa utumbo wa kuku watakumaliza kwa matusi😬😬😬Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
View attachment 3135425
Kwa hio hapo unabishana na kondoo au ngamia?Ndiyo, tuliozaliwa na kukulia Dar , sisi na wazee wetu.
Hivi hujuwi hata nyerere alikuwa wakuja, alikaribishwa na wenyeji wa Dar?
Wewe ni wa Dar au wakuja?
Kwa hiyo msongamano barabarani ndo unaowapatia wakazi wa Dar pesa?! Na kwamba msongamano ukiisha hawatakuwa na nauli? Kuna uhusiano gani wa kuboresha barabara za dar na wakazi kukosa nauli?! Hovyo sana weweNauli watatoa wapi? Au watatembea kwa miguu juu ya lami?
Lami inapandisha thamani maeneo mengi ya jiji la Dar. Huku mbezi beach baada ya kuwekwa lami hii njia inayotoka Maringo mpaka Kipita shoto cha kuelekea white sands viwanja vyote vilivyopo kando ya barabara vina shughuli za kibiashara zimeanzishwa.Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
View attachment 3135425
Sio kila mtu anahitaji mtaji wengine tumeshatoboa , tunataka lami ili tuendeshe michuma yetu na mijengo tuliyojenga ipendeze zaidi na kupanda thamani, na lami zikijengwa thamani ya nyumba zitapanda Mara kumi, kama hujajenga au huna hela sasa life itakuwa ngumu sana na Dar maskini hatakanyaga tenaUtumbo wa kuku natupa jalalani. Kama una dhiki lami ya nini? Kwa nini usipewe mtaji ili ujikomboe? Tril 1?