Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

Yale yale ya kutaka maendeleo ya watu na sio vitu
 
Kwa hiyo mkizaliwa Dar ndio asubuhi mle mihogo na chachandu, mchana dagaa mchele na ugali na miguu ya kuku? Sisi huku Igunga tunaamka na supu ya kuku, mchana ugali nyama ng'ombe na mlenda. Usiku ugali nyama ng'ombe na maziwa mgando.
Lkn mmeacha vyote hivyo na kuja kutubana
 
Hakuna mtu wa Dar, wote ni wakuja. Labda kidogo Mzaramo. 😛
We wakuja. Kama hujui piga kimya. Au muulize Nyerere aliyekuja Dar na kupokelewa na wazee wetu akiwa kavaa kaptula ndo wakamfundisha hata jinsi ya kuvaa suruali
 
Hilo gazeti ni la kuchambia.Tika aingie madarakani hatuoni Cha maana je itawezekana vipi kutandaza barabara December?Hizi ni ahadi hewa za kudanganyia wapiga kura
Watu wa upinde lazima kwanza wawazie sehemu wanazofanyiwa
 
Back
Top Bottom