Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #101
Acha wivu na kitoto Cha miaka 17 fanya kaziHuna hoja mwenyewe umekubali tena ukasema Una TV unaona matukio ya zaman sasa Mimi sipo kwenye level za kufanya kazi ila hela inaingia nikiwa kitandani sasa nataka nikusaidie mtaji hata WA laki tano
Ila ukiniletea evidence ni lini beki na beki gani amewahi ku mu outshine Messi wakiwa one v one
Simanishi kiwa Messi hajawahi kuwa na siku mbaya ofisini no lkn nachojuwa hakuna mchezaji alie wahi kupewa majukumu ya kumkaba Messi dakika 90 akafanikiwa kum outshine hayupo ila Kwa Makati Wa team nzima ndio utamzuia Messi
Ila Mendes sio tu kamkaba yamal lkn Ka score na kutoa assist na kuchukua man of match ***** ukinionesha lini Messi kafanyiwa hivyo nakupa 500k