Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,103
- 2,201
unamjua "prime messi" ? prime gaucho? wewe umeanza ushabiki 2020 , na gaucho umemuona kwenye vi clip vya youtube. hao walikua watu haswa, na wenye consistence ya miaka. wamefanya makubwa na wameshinda sana.
Yamal ni mzuri sana lakini kwa kizaz chake, akaze afike mbali zaidi maana hata kiwango cha prime neymar bado hajakifikia.
Yamal ni mzuri sana lakini kwa kizaz chake, akaze afike mbali zaidi maana hata kiwango cha prime neymar bado hajakifikia.