Lamine Yamal apewe Balon D'or yake. Ni zaidi ya Ronaldo, Messi, Neymar na Gaucho

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Nimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi

Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana mafanikio akiwa na miaka 17 acheni wivu muwe kama Mimi kuongea uhalisia
 
Attachments

  • 1747345646739.jpg
    1747345646739.jpg
    291.8 KB · Views: 51
Nimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi

Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana mafanikio akiwa na miaka 17 acheni wivu muwe kama Mimi kuongea uhalisia
No offense dogo afanya vizuri, lakin kusema ni zaidi ya ronaldinho, messi, na ronaldo ni kuwatukana hao legends

Unless umeanza kuangalia mpira majuzi, prime ronaldinho ,prime messi, prime c.ronaldo walikwua wachezaji top cream kabisa. Yamal hajafika hapo
 
Mkuu mbona unaongea kama umekatwa kichwa baada ya kushiba makande apo kwa shemeji yako?!
Niambie uyo Yamal msimu huu kamshinda nini Dembele mpaka saivi??
Au kwa sababu Dembele haongelewi?
Hata magoli kazidiwa kila kitu na Dembele yupo final Uefa.!
Mnampa kichwa Yamal lakin mnashindwa kujua kitakwimu kazidiwa na wachezaji wengi tu..
 
Nilishatoa tahadhari juu wivu weka pembeni Sina mda wa kubishana
 
Nilishatoa tahadhari juu wivu na mtoto wa miaka 17 weka pembeni
 
Mkuu mbona unaongea kama umekatwa kichwa baada ya kushiba makande apo kwa shemeji yako?!
Niambie uyo Yamal msimu huu kamshinda nini Dembele mpaka saivi??
Au kwa sababu Dembele haongelewi?
Hata magoli kazidiwa kila kitu na Dembele yupo final Uefa.!
Mnampa kichwa Yamal lakin mnashindwa kujua kitakwimu kazidiwa na wachezaji wengi tu..
Fact, wanamkuza sana! Osmane Dembele kafanya vizuri zaidi
 
Nilishatoa tahadhari juu wivu weka pembeni Sina mda wa kubishana
Sio wivu, ni facts. Look at stats na mafanikio ambayo wameyapata hao wachezaji wakiwa katika umri wa lamine yamal

yes yamal yuko vizur ni kweli, bado hajafikia peak age ana safari ndefu but its too early kusema amewazidi hao ,too early
 
We huangaliagi mpira unasikiliza kwenye redio DStv Kila siku wanarudia hizo games za hao wazee hawana jipya walikua wanapewa sifa za bure tu labda unawivu kwakua ni dogo miaka 17 tu😂😂😂😂😂
 
BalloD'or hata fainali ya UEFA hajafika.
Kuna wachezaji wazuri zaidi yake, kama Ousmane Dembele, Lautaro Martinez ( wako fainali UEFA).
Kuna Mo Salah, Kyllian Mbappé n. k.
Hana tofauti na Rafinha, Bukayo saka (tena Saka ni mzuri zaidi)
 
Back
Top Bottom