Lamine Yamal apewe Balon D'or yake. Ni zaidi ya Ronaldo, Messi, Neymar na Gaucho

Lamine Yamal apewe Balon D'or yake. Ni zaidi ya Ronaldo, Messi, Neymar na Gaucho

Wivu weka pembeni fanya kazi Kwa bidii na wewe utafikiwa
Kazi yangu inahusiana vipi na huu mjadala? Au labda Lamine Yamal tunamwingiliano wowote naye mpaka niwe na wivu?

Hapa tunajadili football kumhusisha Yamal na si vinginevyo mkuu. Hoja ndiyo silaha kuu kuliko maneno yasiyofaa.
 
Pambana sana mkuu utafanikiwa tu ugumu wako wa maisha usiweke wivu Kwa dogo wa miaka 17
 
BalloD'or hata fainali ya UEFA hajafika.
Kuna wachezaji wazuri zaidi yake, kama Ousmane Dembele, Lautaro Martinez ( wako fainali UEFA).
Kuna Mo Salah, Kyllian Mbappé n. k.
Hana tofauti na Rafinha, Bukayo saka (tena Saka ni mzuri zaidi)
Pambana sana ugumu wako wa maisha usimchukie dogo wa miaka17
 
Ronaldinho huyu huyu ninaye mjua mimi,CR7 huyu huyu ninaye mfahamu na Messi huyu huyu acha utani dogo.

Kwanza umezaliwa mwaka gani dogo ?
 
Ronaldinho huyu huyu ninaye mjua mimi,CR7 huyu huyu ninaye mfahamu na Messi huyu huyu acha utani dogo.

Kwanza umezaliwa mwaka gani dogo ?
Hujielewi wewe hata ningezaliwa 2015 lakini mechi za zamani za hao kina Ronaldinho Messi Ronaldo na Neymar Kila siku zinaoneshwa DStv au huna king'amuzi na tv unaishi chaka nini mzee kiasi kwamba unafikili mechi zikipita hazionyeshwi tena milele acha ushamba we mzee
 
Back
Top Bottom