Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Nimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi
Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana mafanikio akiwa na miaka 17 acheni wivu muwe kama Mimi kuongea uhalisia
Messi acha kumfananisha na hao wote uliowataja. Bado hakutokea mchezaji kama Messi.
Messi
Maradona