Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #101
Acha wivu na kitoto Cha miaka 17 fanya kaziHuna hoja mwenyewe umekubali tena ukasema Una TV unaona matukio ya zaman sasa Mimi sipo kwenye level za kufanya kazi ila hela inaingia nikiwa kitandani sasa nataka nikusaidie mtaji hata WA laki tano
Ila ukiniletea evidence ni lini beki na beki gani amewahi ku mu outshine Messi wakiwa one v one
Simanishi kiwa Messi hajawahi kuwa na siku mbaya ofisini no lkn nachojuwa hakuna mchezaji alie wahi kupewa majukumu ya kumkaba Messi dakika 90 akafanikiwa kum outshine hayupo ila Kwa Makati Wa team nzima ndio utamzuia Messi
Ila Mendes sio tu kamkaba yamal lkn Ka score na kutoa assist na kuchukua man of match ***** ukinionesha lini Messi kafanyiwa hivyo nakupa 500k
Huyu dogo ni hatari, ni kama Lionel MessiNimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi
Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana mafanikio akiwa na miaka 17 acheni wivu muwe kama Mimi kuongea uhalisia
Of courseHuyu dogo ni hatari, ni kama Lionel Messi
Nilimvulia kofia siku ya mechi ya Semi Final ya UEFA Champions league (Barcelona vs Inter Milan)
Dogo alipiga goli tamu sana na kutoa assist za magoli mengine
Honestly, huyu dogo ni talented sana, he deserves a very special recognition