Lamine Yamal avunja ukimya kuhusu kauli za kibaguzi na kejeli dhidi ya Uislamu

Nakumbuka kauli ya mwanahabari maarufu na gwiji Marekani katika podcast alisema.

" Miaka ya nyuma kulikuwa na tatizo kubwa la Uislamu wa itikadi Kali lakini sasa Waislamu wengi wapo kawaida na itikadi Kali zimepungua ndio maana unakuta Qatar , UAE nk ni Waislamu lakini hakuna itikadi Kali , lakini sasa itikadi Kali zimerudi kwetu kwa Wakristo na Wayahudi kwa Kasi sana na nchi nyingi unakutana na Wakristo Wenye itikadi Kali wasiovumilia dini nyingine"
Je itikadi kali inafaa au haifai kwa mtazamo wako?
 
Wamewavumilieni wamechoka. Kwa miaka mingi Waislamu wamekaribishwa ulaya na wakaanza kuwasumbua wenyeji wao wakilazimisha itikadi yao ndio iwe.
Hizi ni propaganda za Christian Extrimist.

Hawajalazimisha mtu awe itikadi yao, eneo nyinyi wageni na mpo wachache nguvu ya kulazimisha watu wanatoa wapi ?
 
Tatizo Wahamiaji Waislamu wanataka wadumishe tamaduni zao za Kiislamu katika Ulimwengu wa magharibi, hapo lazima watatifuana tu na wenyeji, Wazungu wengi huko hawajawahi kuona watu wanafunga barabara kuswali au wanawake wanajifunika gubigubi kwa hiyo wanachanganyikiwa wanaona kama ni uvamizi wa kitamaduni.

Hata leo kukitokea wimbi kubwa kwa wahamiaji wa Kikristo Saudia halafu wanawake wengi wahamiaji mtaani wawe hawavai Kiislamu, wahamiaji wawe wanajiachia kunywa pombe, kula kitimoto, kujenga makanisa n.k italeta shida.
Huwajui wazungu , walishapita hiyo stage hao walikuwa wanapiga kelele ni vikundi vidogodogo vya wajinga ambao wanatumia Mpira kutoa hisia zao. Mzungu Hana shida na dini ya mtu kwasababu wao mambo ya dini hwazingatii sana wanachukulia kama utamaduni TU na sio imani
 
Hizi ni propaganda za Christian Extrimist.

Hawajalazimisha mtu awe itikadi yao, eneo nyinyi wageni na mpo wachache nguvu ya kulazimisha watu wanatoa wapi ?
Wapo christian extremist lakini pia wapo liberals waliogekua machawa kwa Uislamu, mfano Denmark na Sweden wamepitisha Sheria za kuzuia uchomaji Quran, UK wamepitisha Sheria za kulinda Uislamu usichafuliwe kupitia mlango wa sheria za chuki. Ukichukua haya yote na mengineyo mfano kushambuliwa kwa wachora katuni za Muhammad, kushambuliwa kwa Salman Rushdie n.k raia wanaona wamevamiwa na uhuru wao wa kujieleza waliouzoea muda wote sasa unabinywa kwa sababu ya watu wa dini moja wasioweza kuvumilia ukosoaji na satire/kejeli.
 
Nakumbuka kauli ya mwanahabari maarufu na gwiji Marekani katika podcast alisema.

" Miaka ya nyuma kulikuwa na tatizo kubwa la Uislamu wa itikadi Kali lakini sasa Waislamu wengi wapo kawaida na itikadi Kali zimepungua ndio maana unakuta Qatar , UAE nk ni Waislamu lakini hakuna itikadi Kali , lakini sasa itikadi Kali zimerudi kwetu kwa Wakristo na Wayahudi kwa Kasi sana na nchi nyingi unakutana na Wakristo Wenye itikadi Kali wasiovumilia dini nyingine"
Kwasababu binaadamu in nature ni mbinafsi hatupaswi kufundishwa Hilo tunaweza kujifunza kupunguza ubinafsi katika maisha yetu lakini hatuwezi kujifunza kuimaliza na kuutokomeza kabisa

When we are talking about racist ni issues ambayo ni mtambuka utaikuta katika dini kabila Koo family jamii(mitaani mashuleni makazini misikitini makanisani etc Taifa (utaifa)

Tofauti tu ni kwamba ubaguzi wa rangi ambao ni msukumo wa Ndani unao sababishwa na Ubinafsi wa baadhi ya watu wa tabaka Fulani ndio ubaguzi unaopingwa zaidi duniani lakini ukweli ni kwamba ubaguzi upo Kila mahali Kila tubapoishi tunapokwenda ubaguzi upo ni janga zito sana ambalo viumbe tumeumbwa nalo

Mfano mdogo alipokuwa jiwe madarakani tuliona wazi wazi the way wasukuma walivyokuwa wanajazwa kwenye sahani ya kuitafuna keki ya Taifa Now tunaona Samuya yupo madarakani wapemba nao wamejazana kibao kwenye system,

Na hata inapotokea kiongozi Akawa sio mkabila au sio mdini pia utaona tu anachukua ile cream ya washkaji zake na kujazana nao kwenye system it was like that wakati wa Mzee wa msoga so haya mambo bhana ni mtihani sana ubinafsi ni janga la asili can't to defeat it But tunatakiwa tujitahidi kuupunguza rate yake ibaki kidogo kwenye mioyo na Akili za watu ndio tutaweza ku- survive
 
All in all dini ni tatizo kubwa walioanzisha hayo mambo wametuletea janga zito sana katika huu ulimwengu

Imagine Unapata mpenzi mnapendana to the moon and back She/he support for each and everything mnakaa mnakubaliana kuoana mnakwenda kupeleka huo mpango Kwa ndugu ghafla unaibuka mzozo Toka Kwa wazazi wanapinga kisa tu nyie ni dini tofauti Ujinga sana mother fanta Ujinga na nusu !!

Yaani wazazi wapo Radhi uachane na mtu anayekupenda anayekujali ambaye wenyewe mna match then uende kumuoa mtu /kuolewa na mtu ambaye hamna chemistry yoyote kisa tu ni zao la dini Yako what an imbecile thought dini imewapumbaza na kufubaza Fikra zao wanashindwa kutambua Upendo wa mtu Kwa mtu iwe katika muktadha wa mahusiano ya kimapenzi au muktadha wa mahusiano ya rafiki / ndugu kinacho paswa kutangulia na kupewa nafasi ni utu wa mtu na upendo wake Kwa watu wanao mzunguka na Jamii yake Kwa ujumla na sio kwasababu ya dini yake Wala kabila lake au utaifa wake , Dini zimekuja kuharibu sana Fikra za watu na kuwawekea utengano wa hali ya juu

Hivyo hivyo pia katika jamii zetu unakuta umekulia katika jamii ambazo mpo mixer watu wa dini Fulani na dini Fulani kupitia jamii hiyo ukapata Marafiki ambao Imani zenu ni za dini tofauti mkapendana mkashirikiana mkathaminiana zaidi ya ndugu wa kuzaliwa nao lakini mnapoachana na kwenda kwenye nyumba zenu za ibada unakutana na shekhe au mchungaji anaanza kukujaza ujinga kuhusu tabaka la dini za watu wengine ambao ni tofauti na dini Yako Anakuja chuki uwachukie watu wengine ambao wana Imani tofauti na Yako na ukitazama watu wenye Imani hiyo unayo ambiwa uichukie wapo ndugu zako jamaa au Marafiki zako mnaopendana

Mwisho wa siku kweli chuki inaanza kujizalisha moyoni na hatimae unaanza kuwachukia kisa tu mafundisho ya Imani Yako yanasema watu ambao wenye Imani tofauti na Yako ni makafiri / wafuga majini 😄😁😁

Hatimae unaanza kujitenga nao ili usiogope kumuuzi bwana mungu Wako, Mwisho wa siku mafundisho kama hayo Yana sambaa Kwa Kasi katika jamii nzima halafu watu wanaanza kutengana

Hizi dini ni zaidi ya cancer

Wengine tumekulia kwenye mazingira ambayo Tulikuwa tunaenda kula kwenye nyumba za wakristo/waislam Tena Tulikuwa tunapewa first priority ya Hali ya juu , Halafu unaingia kwenye nyumba ya ibada unakuta kiongozi wa dini ana kuambia wachukie watu wa dini Fulani wale ni makafiri/Wafuga majini , huo ndio ulikuwa mwanzo wangu wakuanza kutafakari kuhusu hizi dini na nika gundua kuwa ni utapeli mtupu ,

Yaani niwachukie kina John/Abdallah wakati wazazi wake walinisaidia kulipa ada nilipo kuwa nadaiwa shuleni hii ni Akili au matope
 
Nakumbuka kauli ya mwanahabari maarufu na gwiji Marekani katika podcast alisema.

" Miaka ya nyuma kulikuwa na tatizo kubwa la Uislamu wa itikadi Kali lakini sasa Waislamu wengi wapo kawaida na itikadi Kali zimepungua ndio maana unakuta Qatar , UAE nk ni Waislamu lakini hakuna itikadi Kali , lakini sasa itikadi Kali zimerudi kwetu kwa Wakristo na Wayahudi kwa Kasi sana na nchi nyingi unakutana na Wakristo Wenye itikadi Kali wasiovumilia dini nyingine"
Itikadi Kali dhidi ya dini yako si shida,SHIDA YA UKRISTO NI ULIMBUKENI,miongoni mwa makundi yao,
E.g,
1.wakristo wa Bongo wanafurahia Iran kupigwa na U.S,ilhali Iran mafuta yake anauza China,ambayo inauza bidhaa cheap 80% lower ya bidhaa hio hio ikiuzwa U.S to Africa,
2.mtu anakuambia ni haki Israel kuipora ardhi Palestine sababu andiko limesema,unamuuliza unaweza nipa ramani ya Israel kwenye hilo andiko anaishia kutukuna
3.wakristo wengi hawampendi Samia,ambaye anafanya mabaya yale yale ya JPM waliokua wanampenda,wanataka ashitakiwe ICC ilhali nyetanyahu mwenye arrest warrant ya ICC,wanashangilia kua ni shujaa kwa kuua GAZA
4.Unakuta wakrsisto wanadharau na kuwatukana wazanzibar kua hawajasoma ,ilhali Zanzibar Ina population sawa na Kagera,Kilimanjaro ama Mara kwenye obvious wakristo wengi,lakini per capital ya Zanzibar ni $2500 ya hio mikoa ni chini ya $1000,Zanzibar in maendeleo mara 10 ya Mkoa wowote hapa Tanzania bara ukiacha Dar es salaam na waislam kule ni 99%,sa kuna haja gani ya kusoma sana Kisha unakua MASIKINI,ukienda Bukoba stendi ya mabasi tu kichekesho,na ndio kuna maprofessor wengi huko🤣🤣,maana yake we ni mbumbumbu
4.Pombe ni among top carcinogen na ina addiction,mkristo anaaminishwa kanisani kua anywe ila asilewe na anakubali kabisa kua andiko limesema😃😫😁,
5.kibailojia sex is necessary,hata kama sio kwa kuzaliana,mkristo anaaminishwa kua viongozi wao wa dini Sex no,na anakubali kabisa kua kupitia roho mtakatifu,viongozi wao HAWATOMBANI🤣🤣
wakristo wengi wasomi lakini reasoning yao ni ndogo sababu dini yao inawaaminisha,haiwafanyi wafikirie tofauti na UISLAM,itakupa Kila sababu ya kwa nini pombe haramu,Kuoa mke zaidi ya mmoja,kutokula nguruwe etc,tena katika scientific way kabisa

wakristo wengi wasomi lakini hawareasons accordingly,na elimu yao haiendani na maarifa/ama ujuzi wao?
 
Hizi ni propaganda za Christian Extrimist.

Hawajalazimisha mtu awe itikadi yao, eneo nyinyi wageni na mpo wachache nguvu ya kulazimisha watu wanatoa wapi ?
Nimeishi ugenini na nineshuhudia hawa watu wakisumbua wenyeji vibaya sana. Kwa taarifa yako western world hawana u extremist na dini kabisa ila uvumilivu kwa hawa watu unawashinda.
 
Umetumia kipimo gani kusema kwasasa idadi ni ndogo?
Tuanzie Tz miaka ya 2012 muako ulikuwa mkubwa na vijana wengi walikuwa na Ari ya kujiunga hivyo vikundi na walienda sana na kufanya terror attacks mpaka bongo na MaSheik wa mlengo huo walikuwa wanashawishi vijana live...

Miaka hii hata mtoto mdogo anakukatalia kunezeshwa itikadi Kali , Mimi Kijijini kwetu kipo mpakani mtwara Kijiji kizima 99.9% Waislamu Magaidi walivyotaka kupenya wao ndio wamewakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya usalama na hawawataki hata kuwasikia itikadi Kali.

Hio ni mifano michache sasa watu washaelewa kuwa itikadi Kali matapeli na awareness ya Waislamu kuhusu itikadi Kali imeongezeka
 
Wewe ni muongo sana mimi kwetu ni mahurunga sasa nitajie kijiji hicho ambacho waliwashika hao watu.....bali ninachojua wakati wale magaidi wanavamia kitaya walipata sapoti kubwa mno kwa waislamu wenzao....kiufupi kusini huku itikadi kali inakua kwa kasi mno kiufupi serikali isipokuwa makini Kuna jambo liltatokea
 
Nakumbuka kauli ya mwanahabari maarufu na gwiji Marekani katika podcast alisema.

" Miaka ya nyuma kulikuwa na tatizo kubwa la Uislamu wa itikadi Kali lakini sasa Waislamu wengi wapo kawaida na itikadi Kali zimepungua ndio maana unakuta Qatar , UAE nk ni Waislamu lakini hakuna itikadi Kali , lakini sasa itikadi Kali zimerudi kwetu kwa Wakristo na Wayahudi kwa Kasi sana na nchi nyingi unakutana na Wakristo Wenye itikadi Kali wasiovumilia dini nyingine"

Adriz nikisema waislamu mnasumbuliwa na inferiority complex kila kitu unahisi mnaonewa namna nzuri ya we kupambana na vita dhidi ya dhihaka,ubaguzi wa rangi au dini ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine
 
Hapo hakuna inferiority complex , nionyeshe malalamiko yako wapi hapo ?
 
Wewe ni muongo sana mimi kwetu ni mahurunga sasa nitajie kijiji hicho ambacho waliwashika hao watu.....bali ninachojua wakati wale magaidi wanavamia kitaya walipata sapoti kubwa mno kwa waislamu wenzao....kiufupi kusini huku itikadi kali inakua kwa kasi mno kiufupi serikali isipokuwa makini Kuna jambo liltatokea
Huna akili kabisa , kitaya hapo Kuna Kaka yangu na ndugu zangu hakuna kitu kama hiko .

Nimetembelea Dinembo mwaka juzi na kukaa , Mkorea Wananchi walijiorganize na kushika kundi kubwa walikuwa pamoja walikwama namna ya kuvuka.

Na Mimi Kijiji chetu mihambwe huko wameshika wengi , Mimi mwenyewe niliwahi kukamatwa sokoni na raia walinivuta chemba baada kuonekana suspicious nilivyokuja mgeni nilipona baada ya kujielezea na akaitwa ndugu yangu .

Hivi kwa akili yako timamu Muislamu gani anaweza kusapoti watu ambao wakiingia Kijijini hawachagua civilian, soldier, Muslim or Kaafir wanauwa wote ?

We jamaa unasumbuliwa na chuki wakati unapewa clear evidence, kama unabisha panda gari nenda mihambwe ingia msikitini jifanye unaRecruit vijana kwa siri tunia hata pesa uone utapata wangapi ?
 
All in all dini ni tatizo kubwa walioanzisha hayo mambo wametuletea janga zito sana katika huu ulimwengu

Imagine Unapata mpenzi mnapendana to the moon and back She/he support for each and everything mnakaa mnakubaliana kuoana mnakwenda kupeleka huo mpango Kwa ndugu ghafla unaibuka mzozo Toka Kwa wazazi wanapinga kisa tu nyie ni dini tofauti Ujinga sana mother fanta Ujinga na nusu !!

Yaani wazazi wapo Radhi uachane na mtu anayekupenda anayekujali ambaye wenyewe mna match then uende kumuoa mtu /kuolewa na mtu ambaye hamna chemistry yoyote kisa tu ni zao la dini Yako what an imbecile thought dini imewapumbaza na kufubaza Fikra zao wanashindwa kutambua Upendo wa mtu Kwa mtu iwe katika muktadha wa mahusiano ya kimapenzi au muktadha wa mahusiano ya rafiki / ndugu kinacho paswa kutangulia na kupewa nafasi ni utu wa mtu na upendo wake Kwa watu wanao mzunguka na Jamii yake Kwa ujumla na sio kwasababu ya dini yake Wala kabila lake au utaifa wake , Dini zimekuja kuharibu sana Fikra za watu na kuwawekea utengano wa hali ya juu

Hivyo hivyo pia katika jamii zetu unakuta umekulia katika jamii ambazo mpo mixer watu wa dini Fulani na dini Fulani kupitia jamii hiyo ukapata Marafiki ambao Imani zenu ni za dini tofauti mkapendana mkashirikiana mkathaminiana zaidi ya ndugu wa kuzaliwa nao lakini mnapoachana na kwenda kwenye nyumba zenu za ibada unakutana na shekhe au mchungaji anaanza kukujaza ujinga kuhusu tabaka la dini za watu wengine ambao ni tofauti na dini Yako Anakuja chuki uwachukie watu wengine ambao wana Imani tofauti na Yako na ukitazama watu wenye Imani hiyo unayo ambiwa uichukie wapo ndugu zako jamaa au Marafiki zako mnaopendana

Mwisho wa siku kweli chuki inaanza kujizalisha moyoni na hatimae unaanza kuwachukia kisa tu mafundisho ya Imani Yako yanasema watu ambao wenye Imani tofauti na Yako ni makafiri / wafuga majini 😄😁😁

Hatimae unaanza kujitenga nao ili usiogope kumuuzi bwana mungu Wako, Mwisho wa siku mafundisho kama hayo Yana sambaa Kwa Kasi katika jamii nzima halafu watu wanaanza kutengana

Hizi dini ni zaidi ya cancer

Wengine tumekulia kwenye mazingira ambayo Tulikuwa tunaenda kula kwenye nyumba za wakristo/waislam Tena Tulikuwa tunapewa first priority ya Hali ya juu , Halafu unaingia kwenye nyumba ya ibada unakuta kiongozi wa dini ana kuambia wachukie watu wa dini Fulani wale ni makafiri/Wafuga majini , huo ndio ulikuwa mwanzo wangu wakuanza kutafakari kuhusu hizi dini na nika gundua kuwa ni utapeli mtupu ,

Yaani niwachukie kina John/Abdallah wakati wazazi wake walinisaidia kulipa ada nilipo kuwa nadaiwa shuleni hii ni Akili au matope
All in all dini ni tatizo kubwa walioanzisha hayo mambo wametuletea janga zito sana katika huu ulimwengu

Imagine Unapata mpenzi mnapendana to the moon and back She/he support for each and everything mnakaa mnakubaliana kuoana mnakwenda kupeleka huo mpango Kwa ndugu ghafla unaibuka mzozo Toka Kwa wazazi wanapinga kisa tu nyie ni dini tofauti Ujinga sana mother fanta Ujinga na nusu !!

Yaani wazazi wapo Radhi uachane na mtu anayekupenda anayekujali ambaye wenyewe mna match then uende kumuoa mtu /kuolewa na mtu ambaye hamna chemistry yoyote kisa tu ni zao la dini Yako what an imbecile thought dini imewapumbaza na kufubaza Fikra zao wanashindwa kutambua Upendo wa mtu Kwa mtu iwe katika muktadha wa mahusiano ya kimapenzi au muktadha wa mahusiano ya rafiki / ndugu kinacho paswa kutangulia na kupewa nafasi ni utu wa mtu na upendo wake Kwa watu wanao mzunguka na Jamii yake Kwa ujumla na sio kwasababu ya dini yake Wala kabila lake au utaifa wake , Dini zimekuja kuharibu sana Fikra za watu na kuwawekea utengano wa hali ya juu

Hivyo hivyo pia katika jamii zetu unakuta umekulia katika jamii ambazo mpo mixer watu wa dini Fulani na dini Fulani kupitia jamii hiyo ukapata Marafiki ambao Imani zenu ni za dini tofauti mkapendana mkashirikiana mkathaminiana zaidi ya ndugu wa kuzaliwa nao lakini mnapoachana na kwenda kwenye nyumba zenu za ibada unakutana na shekhe au mchungaji anaanza kukujaza ujinga kuhusu tabaka la dini za watu wengine ambao ni tofauti na dini Yako Anakuja chuki uwachukie watu wengine ambao wana Imani tofauti na Yako na ukitazama watu wenye Imani hiyo unayo ambiwa uichukie wapo ndugu zako jamaa au Marafiki zako mnaopendana

Mwisho wa siku kweli chuki inaanza kujizalisha moyoni na hatimae unaanza kuwachukia kisa tu mafundisho ya Imani Yako yanasema watu ambao wenye Imani tofauti na Yako ni makafiri / wafuga majini 😄😁😁

Hatimae unaanza kujitenga nao ili usiogope kumuuzi bwana mungu Wako, Mwisho wa siku mafundisho kama hayo Yana sambaa Kwa Kasi katika jamii nzima halafu watu wanaanza kutengana

Hizi dini ni zaidi ya cancer

Wengine tumekulia kwenye mazingira ambayo Tulikuwa tunaenda kula kwenye nyumba za wakristo/waislam Tena Tulikuwa tunapewa first priority ya Hali ya juu , Halafu unaingia kwenye nyumba ya ibada unakuta kiongozi wa dini ana kuambia wachukie watu wa dini Fulani wale ni makafiri/Wafuga majini , huo ndio ulikuwa mwanzo wangu wakuanza kutafakari kuhusu hizi dini na nika gundua kuwa ni utapeli mtupu ,

Yaani niwachukie kina John/Abdallah wakati wazazi wake walinisaidia kulipa ada nilipo kuwa nadaiwa shuleni hii ni Akili au matope

Kuna Uislamu na tabia za baadhi ya Waislamu ni vitu viwili tofauti .

Uislamu una priotize kuisha na jirani kwa Wema , kumsaidia , kutomdhulumu nk bila kujali dini .

Kumchukia mtu ndio nini ? Mbona shabiki wa Simba anamchukia wa Yanga Kwa sababu ya ushabiki na maisha yanaenda bila kuathiri mambo mengine ya kibinadamu ?

Kama huyo Sheikh kumchukia mkiristo anamaanisha usimsaidie , umdhulumu , usimpe haki zake , umpige nk atakuwa amekosea 💯 bila shaka kwani hayo sio mafundisho sahihi ya Uislamu.
 
Back
Top Bottom