Kwa hiyo alivyoambiwa THE ONE WHO DOESN'T JUMP IS A MUSLIM huo ndio ubaguziNakumbuka kauli ya mwanahabari maarufu na gwiji Marekani katika podcast alisema.
" Miaka ya nyuma kulikuwa na tatizo kubwa la Uislamu wa itikadi Kali lakini sasa Waislamu wengi wapo kawaida na itikadi Kali zimepungua ndio maana unakuta Qatar , UAE nk ni Waislamu lakini hakuna itikadi Kali , lakini sasa itikadi Kali zimerudi kwetu kwa Wakristo na Wayahudi kwa Kasi sana na nchi nyingi unakutana na Wakristo Wenye itikadi Kali wasiovumilia dini nyingine"
Mimi nikukuambiwa "wewe unatiwa " kibongobongo imekaaje tusi au kawaida ?Kwa hiyo alivyoambiwa THE ONE WHO DOESN'T JUMP IS A MUSLIM huo ndio ubaguzi
Siku ukristo ukiwa na itikadi kali na kuanza kubeba silaha kuua wa islamu itakua ni siku mbaya sana kwa waislamu ulimwenguni.Nakumbuka kauli ya mwanahabari maarufu na gwiji Marekani katika podcast alisema.
" Miaka ya nyuma kulikuwa na tatizo kubwa la Uislamu wa itikadi Kali lakini sasa Waislamu wengi wapo kawaida na itikadi Kali zimepungua ndio maana unakuta Qatar , UAE nk ni Waislamu lakini hakuna itikadi Kali , lakini sasa itikadi Kali zimerudi kwetu kwa Wakristo na Wayahudi kwa Kasi sana na nchi nyingi unakutana na Wakristo Wenye itikadi Kali wasiovumilia dini nyingine"
Wewe ni mjinga sana wanaoshika ni wachache sana hivi ingekuwa hivyo hao wapiganaji si ni watoto wetu mbona wanajulikana na wakiongezeka kila siku je Kuna aliewahi kwenda kuripoti? Umesahau hata rogo wa Kenya alipata sapoti kubwa sana sembuse hawa...pale likokona walishikwa masheikh wanawafundisha watu karate porini na mafunzo ya silaha ila watu walilaani sana kwamba waislamu wanaonewaHuna akili kabisa , kitaya hapo Kuna Kaka yangu na ndugu zangu hakuna kitu kama hiko .
Nimetembelea Dinembo mwaka juzi na kukaa , Mkorea Wananchi walijiorganize na kushika kundi kubwa walikuwa pamoja walikwama namna ya kuvuka.
Na Mimi Kijiji chetu mihambwe huko wameshika wengi , Mimi mwenyewe niliwahi kukamatwa sokoni na raia walinivuta chemba baada kuonekana suspicious nilivyokuja mgeni nilipona baada ya kujielezea na akaitwa ndugu yangu .
Hivi kwa akili yako timamu Muislamu gani anaweza kusapoti watu ambao wakiingia Kijijini hawachagua civilian, soldier, Muslim or Kaafir wanauwa wote ?
We jamaa unasumbuliwa na chuki wakati unapewa clear evidence, kama unabisha panda gari nenda mihambwe ingia msikitini jifanye unaRecruit vijana kwa siri tunia hata pesa uone utapata wangapi ?
Acha uongo au hata simu huna ukajionea??,Trump ana support Anti-muslim kwa hiyo Trump sio mzungu au ni mbongo mwenzako?Huwajui wazungu , walishapita hiyo stage hao walikuwa wanapiga kelele ni vikundi vidogodogo vya wajinga ambao wanatumia Mpira kutoa hisia zao. Mzungu Hana shida na dini ya mtu kwasababu wao mambo ya dini hwazingatii sana wanachukulia kama utamaduni TU na sio imani
Na waislamu wengi mnachukia marekani na wazungu na mnai support iran kwa kuwa ni watu wa dini yenu,Itikadi Kali dhidi ya dini yako si shida,SHIDA YA UKRISTO NI ULIMBUKENI,miongoni mwa makundi yao,
E.g,
1.wakristo wa Bongo wanafurahia Iran kupigwa na U.S,ilhali Iran mafuta yake anauza China,ambayo inauza bidhaa cheap 80% lower ya bidhaa hio hio ikiuzwa U.S to Africa,
2.mtu anakuambia ni haki Israel kuipora ardhi Palestine sababu andiko limesema,unamuuliza unaweza nipa ramani ya Israel kwenye hilo andiko anaishia kutukuna
3.wakristo wengi hawampendi Samia,ambaye anafanya mabaya yale yale ya JPM waliokua wanampenda,wanataka ashitakiwe ICC ilhali nyetanyahu mwenye arrest warrant ya ICC,wanashangilia kua ni shujaa kwa kuua GAZA
4.Unakuta wakrsisto wanadharau na kuwatukana wazanzibar kua hawajasoma ,ilhali Zanzibar Ina population sawa na Kagera,Kilimanjaro ama Mara kwenye obvious wakristo wengi,lakini per capital ya Zanzibar ni $2500 ya hio mikoa ni chini ya $1000,Zanzibar in maendeleo mara 10 ya Mkoa wowote hapa Tanzania bara ukiacha Dar es salaam na waislam kule ni 99%,sa kuna haja gani ya kusoma sana Kisha unakua MASIKINI,ukienda Bukoba stendi ya mabasi tu kichekesho,na ndio kuna maprofessor wengi huko🤣🤣,maana yake we ni mbumbumbu
4.Pombe ni among top carcinogen na ina addiction,mkristo anaaminishwa kanisani kua anywe ila asilewe na anakubali kabisa kua andiko limesema😃😫😁,
5.kibailojia sex is necessary,hata kama sio kwa kuzaliana,mkristo anaaminishwa kua viongozi wao wa dini Sex no,na anakubali kabisa kua kupitia roho mtakatifu,viongozi wao HAWATOMBANI🤣🤣
wakristo wengi wasomi lakini reasoning yao ni ndogo sababu dini yao inawaaminisha,haiwafanyi wafikirie tofauti na UISLAM,itakupa Kila sababu ya kwa nini pombe haramu,Kuoa mke zaidi ya mmoja,kutokula nguruwe etc,tena katika scientific way kabisa
wakristo wengi wasomi lakini hawareasons accordingly,na elimu yao haiendani na maarifa/ama ujuzi wao?
South Africa,Russia,Cuba,Venezuela,China,hizo nchi zote nyingi hazina dini na nyingine Zina wakristo wengi,ila waislam wanazisupport sababu zinatetea haki,na maslahi mapana ya uhuru wao,kama tu ilivo Iran,ingawa Saudi Arabia,Qatar,UAE,Kuna wakristo 99% ila waislam duniani wanaomba zipigwe tu na Iran sababu zimekubali kuweka base za magaidiNa waislamu wengi mnachukia marekani na wazungu na mnai support iran kwa kuwa ni watu wa dini yenu,
Ila unajua kuwa hizo kanzu mnazovaa katengeneza mzungu?,hizo miwani,kobazi mnazovaa katengeneza mzungu?, mick na sound system mnazotumia kuswalia katengeneza mzungu?,
Na zaidi misaada ya Neti,chanjo,na dawa za ukimwi ambazo ndugu zenu wanatumia ili wasife kuwa ni marekani ndio anawapa?🤣🤣🤣.
Isitoshe hata nchi yako TZ inakopa hukohuko marekani na sio Iran ili iendeshe maisha yenu msiandamane??🤣🤣🤣.
Mwisho wa yote tumieni Akili.
Asilimia 97 maisha yako yamategemea marekani either direct au indirect.
Mbona bado unakuwa mjinga huyo Rogo ni miaka gani ? mimi nazungumzia hali ya sasa.Wewe ni mjinga sana wanaoshika ni wachache sana hivi ingekuwa hivyo hao wapiganaji si ni watoto wetu mbona wanajulikana na wakiongezeka kila siku je Kuna aliewahi kwenda kuripoti? Umesahau hata rogo wa Kenya alipata sapoti kubwa sana sembuse hawa...pale likokona walishikwa masheikh wanawafundisha watu karate porini na mafunzo ya silaha ila watu walilaani sana kwamba waislamu wanaonewa
Wewe ni ***** kweli mimi nakuambia hoja sio kwamba hawajakuja tena kushambulia bongo ila ninachomaanisha ni kuongezeka mataahira wa kiislamu wanaojiita washika sunaMbona bado unakuwa mjinga huyo Rogo ni miaka gani ? mimi nazungumzia hali ya sasa.
Eti wanaongezeka kila siku wewe jamaa mbona muongo , mjinga na una chuki takwimu za kuongezeka umetoa wapi au wewe mmoja wao ? vijiji vya mipakani kote Kuna majeshi na vyombo vya usalama hata kuvuka kutoka Kijiji kimoja kwenda kingine lazima uwe na barua kama passport vizuizi kila Kona pamoja na majasusi na kwa miaka kibao hakuna waliowahi kuvuka kufanya shambukizi bongoland .
Mimi nazungumzia current situation naenda kwa facts na evidence wewe unazungumza chuki kipunguani .
Kama wameongezeka kwa nini hakuna ambush ? dalili Moja wapo ya kuongezeka ni kuwa na nguvu na kufanya ambush .Wewe ni ***** kweli mimi nakuambia hoja sio kwamba hawajakuja tena kushambulia bongo ila ninachomaanisha ni kuongezeka mataahira wa kiislamu wanaojiita washika suna
Waislamu wanatetea hizo nchi kwa sababu zinasupport nchi za kiislamu,mnasemaga kauli kuwa "ndugu wa muislamu ni muislamu", hivyo hata waislamu kushangilia russia na china ni kwa sababu hizo nchi zinawasapoti waislamu wenzenu.South Africa,Russia,Cuba,Venezuela,China,hizo nchi zote nyingi hazina dini na nyingine Zina wakristo wengi,ila waislam wanazisupport sababu zinatetea haki,na maslahi mapana ya uhuru wao,kama tu ilivo Iran,ingawa Saudi Arabia,Qatar,UAE,Kuna wakristo 99% ila waislam duniani wanaomba zipigwe tu na Iran sababu zimekubali kuweka base za magaidi
Ajabu ni kua Israel yenye waislam mara 9 ya wakristo,wakristo wa bongo wanaiunga mkono,na juzi tu imeunga mkono kua utumwa ulikua sawa
Ajabu zaidi ni kua wale wale wanaotaka Samia afungwe ICC sababu ya mauaji ya October 29,ndio wanashangilia Netanyau kwa kuua watoto Gaza
Ajabu zaidi,maeneo yanayokaliwa na wakristo wengi TZ kama Bukoba na Kilimanjaro yanawasomi wengi mno wakristo mara 10 ya Zanzibar ,ila uchumi wao upo hoo mara 10 ya Zanzibar yenye waislam 99%,😆😆😆