Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Je itikadi kali inafaa au haifai kwa mtazamo wako?Nakumbuka kauli ya mwanahabari maarufu na gwiji Marekani katika podcast alisema.
" Miaka ya nyuma kulikuwa na tatizo kubwa la Uislamu wa itikadi Kali lakini sasa Waislamu wengi wapo kawaida na itikadi Kali zimepungua ndio maana unakuta Qatar , UAE nk ni Waislamu lakini hakuna itikadi Kali , lakini sasa itikadi Kali zimerudi kwetu kwa Wakristo na Wayahudi kwa Kasi sana na nchi nyingi unakutana na Wakristo Wenye itikadi Kali wasiovumilia dini nyingine"
Hizi ni propaganda za Christian Extrimist.Wamewavumilieni wamechoka. Kwa miaka mingi Waislamu wamekaribishwa ulaya na wakaanza kuwasumbua wenyeji wao wakilazimisha itikadi yao ndio iwe.
Huwajui wazungu , walishapita hiyo stage hao walikuwa wanapiga kelele ni vikundi vidogodogo vya wajinga ambao wanatumia Mpira kutoa hisia zao. Mzungu Hana shida na dini ya mtu kwasababu wao mambo ya dini hwazingatii sana wanachukulia kama utamaduni TU na sio imaniTatizo Wahamiaji Waislamu wanataka wadumishe tamaduni zao za Kiislamu katika Ulimwengu wa magharibi, hapo lazima watatifuana tu na wenyeji, Wazungu wengi huko hawajawahi kuona watu wanafunga barabara kuswali au wanawake wanajifunika gubigubi kwa hiyo wanachanganyikiwa wanaona kama ni uvamizi wa kitamaduni.
Hata leo kukitokea wimbi kubwa kwa wahamiaji wa Kikristo Saudia halafu wanawake wengi wahamiaji mtaani wawe hawavai Kiislamu, wahamiaji wawe wanajiachia kunywa pombe, kula kitimoto, kujenga makanisa n.k italeta shida.
Wapo christian extremist lakini pia wapo liberals waliogekua machawa kwa Uislamu, mfano Denmark na Sweden wamepitisha Sheria za kuzuia uchomaji Quran, UK wamepitisha Sheria za kulinda Uislamu usichafuliwe kupitia mlango wa sheria za chuki. Ukichukua haya yote na mengineyo mfano kushambuliwa kwa wachora katuni za Muhammad, kushambuliwa kwa Salman Rushdie n.k raia wanaona wamevamiwa na uhuru wao wa kujieleza waliouzoea muda wote sasa unabinywa kwa sababu ya watu wa dini moja wasioweza kuvumilia ukosoaji na satire/kejeli.Hizi ni propaganda za Christian Extrimist.
Hawajalazimisha mtu awe itikadi yao, eneo nyinyi wageni na mpo wachache nguvu ya kulazimisha watu wanatoa wapi ?
Kwasababu binaadamu in nature ni mbinafsi hatupaswi kufundishwa Hilo tunaweza kujifunza kupunguza ubinafsi katika maisha yetu lakini hatuwezi kujifunza kuimaliza na kuutokomeza kabisaNakumbuka kauli ya mwanahabari maarufu na gwiji Marekani katika podcast alisema.
" Miaka ya nyuma kulikuwa na tatizo kubwa la Uislamu wa itikadi Kali lakini sasa Waislamu wengi wapo kawaida na itikadi Kali zimepungua ndio maana unakuta Qatar , UAE nk ni Waislamu lakini hakuna itikadi Kali , lakini sasa itikadi Kali zimerudi kwetu kwa Wakristo na Wayahudi kwa Kasi sana na nchi nyingi unakutana na Wakristo Wenye itikadi Kali wasiovumilia dini nyingine"
Itikadi Kali dhidi ya dini yako si shida,SHIDA YA UKRISTO NI ULIMBUKENI,miongoni mwa makundi yao,Nakumbuka kauli ya mwanahabari maarufu na gwiji Marekani katika podcast alisema.
" Miaka ya nyuma kulikuwa na tatizo kubwa la Uislamu wa itikadi Kali lakini sasa Waislamu wengi wapo kawaida na itikadi Kali zimepungua ndio maana unakuta Qatar , UAE nk ni Waislamu lakini hakuna itikadi Kali , lakini sasa itikadi Kali zimerudi kwetu kwa Wakristo na Wayahudi kwa Kasi sana na nchi nyingi unakutana na Wakristo Wenye itikadi Kali wasiovumilia dini nyingine"
Kazi ni kwenu mkuu, mi naangalia tu π.makafiri walikuwa hawana shida kwa waislam, waislam ndio wanaleta shida kuita wasio waislam ni makafiri. Sasa hapo makafiri wanawajibu ili kuheshimiana
Nimeishi ugenini na nineshuhudia hawa watu wakisumbua wenyeji vibaya sana. Kwa taarifa yako western world hawana u extremist na dini kabisa ila uvumilivu kwa hawa watu unawashinda.Hizi ni propaganda za Christian Extrimist.
Hawajalazimisha mtu awe itikadi yao, eneo nyinyi wageni na mpo wachache nguvu ya kulazimisha watu wanatoa wapi ?
Kwahiyo kwenye uislamu hawapo kwasasa watu wa aina hiyo?Haifai .
Naamanisha itikadi za fujo , kufanyia mizaha na kulazimisha wengine wafuate itikadi yako nk
Umetumia kipimo gani kusema kwasasa idadi ni ndogo?Wapo ila asilimia ndogo sana , na Waislamu sasa wameanza kuelimika juu ya itikadi potofu
Tuanzie Tz miaka ya 2012 muako ulikuwa mkubwa na vijana wengi walikuwa na Ari ya kujiunga hivyo vikundi na walienda sana na kufanya terror attacks mpaka bongo na MaSheik wa mlengo huo walikuwa wanashawishi vijana live...Umetumia kipimo gani kusema kwasasa idadi ni ndogo?
Tuanzie Tz miaka ya 2012 muako ulikuwa mkubwa na vijana wengi walikuwa na Ari ya kujiunga hivyo vikundi na walienda sana na kufanya terror attacks mpaka bongo na MaSheik wa mlengo huo walikuwa wanashawishi vijana live...
Miaka hii hata mtoto mdogo anakukatalia kunezeshwa itikadi Kali , Mimi Kijijini kwetu kipo mpakani mtwara Kijiji kizima 99.9% Waislamu Magaidi walivyotaka kupenya wao ndio wamewakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya usalama na hawawataki hata kuwasikia itikadi Kali.
Hio ni mifano michache sasa watu washaelewa kuwa itikadi Kali matapeli na awareness ya Waislamu kuhusu itikadi Kali imeongezeka

Wewe ni muongo sana mimi kwetu ni mahurunga sasa nitajie kijiji hicho ambacho waliwashika hao watu.....bali ninachojua wakati wale magaidi wanavamia kitaya walipata sapoti kubwa mno kwa waislamu wenzao....kiufupi kusini huku itikadi kali inakua kwa kasi mno kiufupi serikali isipokuwa makini Kuna jambo liltatokeaTuanzie Tz miaka ya 2012 muako ulikuwa mkubwa na vijana wengi walikuwa na Ari ya kujiunga hivyo vikundi na walienda sana na kufanya terror attacks mpaka bongo na MaSheik wa mlengo huo walikuwa wanashawishi vijana live...
Miaka hii hata mtoto mdogo anakukatalia kunezeshwa itikadi Kali , Mimi Kijijini kwetu kipo mpakani mtwara Kijiji kizima 99.9% Waislamu Magaidi walivyotaka kupenya wao ndio wamewakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya usalama na hawawataki hata kuwasikia itikadi Kali.
Hio ni mifano michache sasa watu washaelewa kuwa itikadi Kali matapeli na awareness ya Waislamu kuhusu itikadi Kali imeongezeka
Nakumbuka kauli ya mwanahabari maarufu na gwiji Marekani katika podcast alisema.
" Miaka ya nyuma kulikuwa na tatizo kubwa la Uislamu wa itikadi Kali lakini sasa Waislamu wengi wapo kawaida na itikadi Kali zimepungua ndio maana unakuta Qatar , UAE nk ni Waislamu lakini hakuna itikadi Kali , lakini sasa itikadi Kali zimerudi kwetu kwa Wakristo na Wayahudi kwa Kasi sana na nchi nyingi unakutana na Wakristo Wenye itikadi Kali wasiovumilia dini nyingine"
Hapo hakuna inferiority complex , nionyeshe malalamiko yako wapi hapo ?Adriz nikisema waislamu mnasumbuliwa na inferiority complex kila kitu unahisi mnaonewa namna nzuri ya we kupambana na vita dhidi ya dhihaka,ubaguzi wa rangi au dini ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine
Huna akili kabisa , kitaya hapo Kuna Kaka yangu na ndugu zangu hakuna kitu kama hiko .Wewe ni muongo sana mimi kwetu ni mahurunga sasa nitajie kijiji hicho ambacho waliwashika hao watu.....bali ninachojua wakati wale magaidi wanavamia kitaya walipata sapoti kubwa mno kwa waislamu wenzao....kiufupi kusini huku itikadi kali inakua kwa kasi mno kiufupi serikali isipokuwa makini Kuna jambo liltatokea
All in all dini ni tatizo kubwa walioanzisha hayo mambo wametuletea janga zito sana katika huu ulimwengu
Imagine Unapata mpenzi mnapendana to the moon and back She/he support for each and everything mnakaa mnakubaliana kuoana mnakwenda kupeleka huo mpango Kwa ndugu ghafla unaibuka mzozo Toka Kwa wazazi wanapinga kisa tu nyie ni dini tofauti Ujinga sana mother fanta Ujinga na nusu !!
Yaani wazazi wapo Radhi uachane na mtu anayekupenda anayekujali ambaye wenyewe mna match then uende kumuoa mtu /kuolewa na mtu ambaye hamna chemistry yoyote kisa tu ni zao la dini Yako what an imbecile thought dini imewapumbaza na kufubaza Fikra zao wanashindwa kutambua Upendo wa mtu Kwa mtu iwe katika muktadha wa mahusiano ya kimapenzi au muktadha wa mahusiano ya rafiki / ndugu kinacho paswa kutangulia na kupewa nafasi ni utu wa mtu na upendo wake Kwa watu wanao mzunguka na Jamii yake Kwa ujumla na sio kwasababu ya dini yake Wala kabila lake au utaifa wake , Dini zimekuja kuharibu sana Fikra za watu na kuwawekea utengano wa hali ya juu
Hivyo hivyo pia katika jamii zetu unakuta umekulia katika jamii ambazo mpo mixer watu wa dini Fulani na dini Fulani kupitia jamii hiyo ukapata Marafiki ambao Imani zenu ni za dini tofauti mkapendana mkashirikiana mkathaminiana zaidi ya ndugu wa kuzaliwa nao lakini mnapoachana na kwenda kwenye nyumba zenu za ibada unakutana na shekhe au mchungaji anaanza kukujaza ujinga kuhusu tabaka la dini za watu wengine ambao ni tofauti na dini Yako Anakuja chuki uwachukie watu wengine ambao wana Imani tofauti na Yako na ukitazama watu wenye Imani hiyo unayo ambiwa uichukie wapo ndugu zako jamaa au Marafiki zako mnaopendana
Mwisho wa siku kweli chuki inaanza kujizalisha moyoni na hatimae unaanza kuwachukia kisa tu mafundisho ya Imani Yako yanasema watu ambao wenye Imani tofauti na Yako ni makafiri / wafuga majini πππ
Hatimae unaanza kujitenga nao ili usiogope kumuuzi bwana mungu Wako, Mwisho wa siku mafundisho kama hayo Yana sambaa Kwa Kasi katika jamii nzima halafu watu wanaanza kutengana
Hizi dini ni zaidi ya cancer
Wengine tumekulia kwenye mazingira ambayo Tulikuwa tunaenda kula kwenye nyumba za wakristo/waislam Tena Tulikuwa tunapewa first priority ya Hali ya juu , Halafu unaingia kwenye nyumba ya ibada unakuta kiongozi wa dini ana kuambia wachukie watu wa dini Fulani wale ni makafiri/Wafuga majini , huo ndio ulikuwa mwanzo wangu wakuanza kutafakari kuhusu hizi dini na nika gundua kuwa ni utapeli mtupu ,
Yaani niwachukie kina John/Abdallah wakati wazazi wake walinisaidia kulipa ada nilipo kuwa nadaiwa shuleni hii ni Akili au matope