Lamine Yamal avunja ukimya kuhusu kauli za kibaguzi na kejeli dhidi ya Uislamu

Lamine Yamal ni mchezaji tegemezi?
Unafuatilia mpira kweli ?

Ndio , aliwapa kombe la Euro kuangalia gugo contribution ya Lamine kwenye michuanonya Euro , yeye kama Messi kwenye timu ya taifa ya Spain kwa sasa.
 
Kwa hiyo alivyoambiwa THE ONE WHO DOESN'T JUMP IS A MUSLIM huo ndio ubaguzi
 
Kwa hiyo alivyoambiwa THE ONE WHO DOESN'T JUMP IS A MUSLIM huo ndio ubaguzi
Mimi nikukuambiwa "wewe unatiwa " kibongobongo imekaaje tusi au kawaida ?

Hiyo ni sawa na kusema asijecheza Kenge au Shoga yaani .

Kimantiki nikitaka kusema asiyefanya kitu hiki ni mtu Fulani basi hiyo sifa fulani lazima iwe sifa mbaya au nimeamaanisha kuwa ni sifa duni .

Hata sisi enzi za primary wakati tunashindana wa kwanza kufika nyumbani muda wa kurudi shule tunasema wa mwisho chakula cha Nyampapile ili kuleta motivation ya kukimbia mchezo kunoga sababu sifa ya tajwa tumeifanya kuwa ni sifa duni.
 
Siku ukristo ukiwa na itikadi kali na kuanza kubeba silaha kuua wa islamu itakua ni siku mbaya sana kwa waislamu ulimwenguni.
 
Wewe ni mjinga sana wanaoshika ni wachache sana hivi ingekuwa hivyo hao wapiganaji si ni watoto wetu mbona wanajulikana na wakiongezeka kila siku je Kuna aliewahi kwenda kuripoti? Umesahau hata rogo wa Kenya alipata sapoti kubwa sana sembuse hawa...pale likokona walishikwa masheikh wanawafundisha watu karate porini na mafunzo ya silaha ila watu walilaani sana kwamba waislamu wanaonewa
 
Acha uongo au hata simu huna ukajionea??,Trump ana support Anti-muslim kwa hiyo Trump sio mzungu au ni mbongo mwenzako?
Acha uongo,wapo wazungu wengi tuu hawapendi uislamu
 
Na waislamu wengi mnachukia marekani na wazungu na mnai support iran kwa kuwa ni watu wa dini yenu,
Ila unajua kuwa hizo kanzu mnazovaa katengeneza mzungu?,hizo miwani,kobazi mnazovaa katengeneza mzungu?, mick na sound system mnazotumia kuswalia katengeneza mzungu?,
Na zaidi misaada ya Neti,chanjo,na dawa za ukimwi ambazo ndugu zenu wanatumia ili wasife kuwa ni marekani ndio anawapa?🤣🤣🤣.
Isitoshe hata nchi yako TZ inakopa hukohuko marekani na sio Iran ili iendeshe maisha yenu msiandamane??🤣🤣🤣.

Mwisho wa yote tumieni Akili.
Asilimia 97 maisha yako yamategemea marekani either direct au indirect.
 
South Africa,Russia,Cuba,Venezuela,China,hizo nchi zote nyingi hazina dini na nyingine Zina wakristo wengi,ila waislam wanazisupport sababu zinatetea haki,na maslahi mapana ya uhuru wao,kama tu ilivo Iran,ingawa Saudi Arabia,Qatar,UAE,Kuna wakristo 99% ila waislam duniani wanaomba zipigwe tu na Iran sababu zimekubali kuweka base za magaidi
Ajabu ni kua Israel yenye waislam mara 9 ya wakristo,wakristo wa bongo wanaiunga mkono,na juzi tu imeunga mkono kua utumwa ulikua sawa
Ajabu zaidi ni kua wale wale wanaotaka Samia afungwe ICC sababu ya mauaji ya October 29,ndio wanashangilia Netanyau kwa kuua watoto Gaza
Ajabu zaidi,maeneo yanayokaliwa na wakristo wengi TZ kama Bukoba na Kilimanjaro yanawasomi wengi mno wakristo mara 10 ya Zanzibar ,ila uchumi wao upo hoo mara 10 ya Zanzibar yenye waislam 99%,😆😆😆
 
Mbona bado unakuwa mjinga huyo Rogo ni miaka gani ? mimi nazungumzia hali ya sasa.

Eti wanaongezeka kila siku wewe jamaa mbona muongo , mjinga na una chuki takwimu za kuongezeka umetoa wapi au wewe mmoja wao ? vijiji vya mipakani kote Kuna majeshi na vyombo vya usalama hata kuvuka kutoka Kijiji kimoja kwenda kingine lazima uwe na barua kama passport vizuizi kila Kona pamoja na majasusi na kwa miaka kibao hakuna waliowahi kuvuka kufanya shambukizi bongoland .

Mimi nazungumzia current situation naenda kwa facts na evidence wewe unazungumza chuki kipunguani .
 
Wewe ni ***** kweli mimi nakuambia hoja sio kwamba hawajakuja tena kushambulia bongo ila ninachomaanisha ni kuongezeka mataahira wa kiislamu wanaojiita washika suna
 
Wewe ni ***** kweli mimi nakuambia hoja sio kwamba hawajakuja tena kushambulia bongo ila ninachomaanisha ni kuongezeka mataahira wa kiislamu wanaojiita washika suna
Kama wameongezeka kwa nini hakuna ambush ? dalili Moja wapo ya kuongezeka ni kuwa na nguvu na kufanya ambush .

Wanaongezeka kivipi wakati surveillance kila Kona , mpaka misikiti na masikoni Kuna usalama wa Taifa na mtu ukizungumzia habari hizo au kuonekana Mwana harakati unakamatwa haraka sana ?

Ona unavyojichanganya sasa , kushika Sunnah ndio mwenendo sahihi wa Waislamu na ndio Waislamu wengi wanaongezeka kushika sunnah na kushika sunnah sio ugaidi mtu . Sasa huenda unachukia watu kushika sunnah unatafsiri kushika sunnah sio ugaidi sasa hiyo ni shida yako .

Kushika Sunnah ni kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (ﷺ) ambaye yupo kinyume na matendo ya hayo makundi maovu ya Al shabab nk , kama washika sunna wanaongezeka ni neema na dalili ya kuelimika wewe Baki na chuki zako na mtazamo duni kuwa kushika sunnah ni ugaidi wakati watu wa Sunnah ndio wanaongoza kukemea matendo hayo
 
Waislamu wanatetea hizo nchi kwa sababu zinasupport nchi za kiislamu,mnasemaga kauli kuwa "ndugu wa muislamu ni muislamu", hivyo hata waislamu kushangilia russia na china ni kwa sababu hizo nchi zinawasapoti waislamu wenzenu.
Halafu acha uongo russia na south africa ni nchi za kikristo,kasoro china ndio sio ya kikristo ila zingine ni za kikristo.

Kuhusu zanzibar,ni kwamba inakuwa na mafanikio kwa sababu ya utalii,kwa nini hujataja arusha ambayo ina wakristo wengi kuliko waislamu na ni ya kitalii pia,tumia akili wewe acha kutumia kibaragashia kufikiria.

Haya twende kilimanjaro yenye wakristo wengi na mtwara yenye waislamu wengi ipi iliyoendelea,kama sio kilimamjaro?
Tumia akili kufikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…