Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia


Land Cruiser ni gari za kuhimili shida na Mazingira magumu kama Africa, Vita n.k,
Siyo Starehe, hata kama starehe ipo but by nature zimundwa kuhimili hali ngumu.
Ila magari ya ULAYA na MAGHARIBI yameundwa kwa ajili ya STAREHE na Speed.
Kwa kuwa ULAYA hakuna Barabara kama za kwetu.
 
πŸ˜„πŸ˜„ Australia iko Ulaya au haiko Ulaya?
 
Siyo safari ya usiku, ni ya mchana kweupeee...
Ila humu JF Kuna saundi sana mkuu,Kuna jamaa mmoja humu JF alisema yeye hua akipambana Sana anatumia 6 hrs kwa safari ya Dar-Arusha,akatoka Mjerumani mweusi wa kutoka huko Hamburger ya Bariadi akasema huo Ni mzaha, mke wangu mwenyewe Dar-Arusha anatumia 5.30 hrs na Mimi hapa natumia 4hrs Dar-Arusha.

Aisee yule Mjerumani mweusi tulimuweka Kati atuwekee hesabu za 4 hours na hizi barabara zetu,alikimbia ule Uzi mazima πŸ˜„πŸ˜„
 
Barabara zenyewe za kutumia masaa 4 Toka DAR -ARUSHA ziko wapi hapa TANZANIA?
Watu wanaongea Tu kuhusu speed Ila ukianza safari ndefu ndipo utajua jinsi barabara zetu zilivyo finyu, angalau kidogo gari za serikali ndiyo wanaweza kutembeza Kwa speed kubwa Ila haya ya kwetu binafsi ni ngumu Sana kufikisha speed 180
 
Nilitamani sana kumuombea msamaha yule ndugu..
 
Kumbe na kuisifia kote mwanaume ni lifti ulipewa, nikaju labda ww ni mmiliki kumbe blah blah nyingi zaa lift..

Tafuta hela mungu hakupi gari kazi ndio inakupa gari.....
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kuifikisha hio speed utaifikisha Ila kui-maintain jasho litakutoka.
 
Hii ni V8 au V6?
 

6 hrs Dsm arusha nimeshaipiga sana,
ilaninatakiwa uwe na Confidence ya kusimamishwa na Nguo nyeupe.
 

180 zipo chache kama kipande cha SAME
ila 120 unatembea kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…