Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

Tukutajie ndege halisi za chini au tukuache uamini unachoamini?
 
Hao wote wanakuja kufeli kwenye rafu road, land cruiser vx v8 inafiti kote, lami hadi shamba pori kwa pori ambako BMW na wrngine ni kuku wa kizungu!
Hakuna kichaa wa kupeleka hiyo gari rafu road.

Maana likija suala la repairs ukitoka mkeka anaweza kufa kwa stroke.

Hiyo ni Luxury Car, Version yake ya rough road ni 70 series.
 
Mkuu Landcruiser 2022 ni V6, 3300cc.
Hii siyo V8.
 
Hakuna kichaa wa kupeleka hiyo gari rafu road.

Maana likija suala la repairs ukitoka mkeka anaweza kufa kwa stroke.

Hiyo ni Luxury Car, Version yake ya rough road ni 70 series.
Nilishangaa sana Wkt wa hii Vita ya Ukraine Boris(PM wa UK by then) alinunua landcruiser za kutosha na kuzipeleka Ukraine kusaidia Vita,sijui kwanini hakununua Gari yoyote Ile kutoka Landrover(UK) na kuzipeleka field. πŸ˜„πŸ˜„.

USA nao wakapeleka LC 70 series huko Ukraine sijui kwanini hawakupeleka Ford,GM etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…