Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

Mwezi wa sita nilikuwa Babati... Katika shughuli zangu nikawa naelekea Arusha... Mimi nina gari ya kawaida sana... Lakini sehemu kama imenyooka naweza jikuta 160 au zaidi kidogo.. Ila sio muda mrefu...

Kuna sehemu imenyooka kama rula maeneo ya Magugu kabla ya Minjingu... nilipitwa na machine hiyo v8 sijui series L300 ... Yaani niko 160 ...nikaongeza mpaka 170 ...sikuiona hiyo gari...
Hiyo machine v8 L300 series akikupita.. Usishindane nae unaweza ukakata timing belt.. Nilijaribu nikaogopa
 
Vxr v8 ni habari nyingine.

Hua najiuliza kwa nini serikali nyingi za kiafrika viongozi wanapenda hiki chuma, ni habari nyingine.

Hata viongozi wa ulaya wanatamani wangekua wanatumia Toyota sema kwa unafiki wa kuonyesha uzalendo unakuta wanalazimika kupanda magari ya kampuni zao.
Mbona msafara wa Putin una Mercedes Benz?
 
Mwezi wa sita nilikuwa Babati... Katika shughuli zangu nikawa naelekea Arusha... Mimi nina gari ya kawaida sana... Lakini sehemu kama imenyooka naweza jikuta 160 au zaidi kidogo.. Ila sio muda mrefu...

Kuna sehemu imenyooka kama rula maeneo ya Magugu kabla ya Minjingu... nilipitwa na machine hiyo v8 sijui series L300 ... Yaani niko 160 ...nikaongeza mpaka 170 ...sikuiona hiyo gari...
Hiyo machine v8 L300 series akikupita.. Usishindane nae unaweza ukakata timing belt.. Nilijaribu nikaogopa
Hayo magari yanakimbia mno,na ajari zake ni nadra sana,ila speed zenu hizo Mkuu ni hatari kuna crown juzi nimeikuta sehemu imepata ajali,kitu pekee cha kutambulisha ujue ni crown ni taa moja ya nyuma ilibaki, ila sehemu zingine zote gari ipo flat kma mkeka,jamaa lazima alifariki
 
Mwezi wa sita nilikuwa Babati... Katika shughuli zangu nikawa naelekea Arusha... Mimi nina gari ya kawaida sana... Lakini sehemu kama imenyooka naweza jikuta 160 au zaidi kidogo.. Ila sio muda mrefu...

Kuna sehemu imenyooka kama rula maeneo ya Magugu kabla ya Minjingu... nilipitwa na machine hiyo v8 sijui series L300 ... Yaani niko 160 ...nikaongeza mpaka 170 ...sikuiona hiyo gari...
Hiyo machine v8 L300 series akikupita.. Usishindane nae unaweza ukakata timing belt.. Nilijaribu nikaogopa
Una gari ya kawaida sana probably horsepower chini ya 150. Sasa dude lina horsepower 300 utaliweza wapi?

Hilo dude linakalishwa na wenzake nguvu sawa.
 
Back
Top Bottom