Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

Tukutajie ndege halisi za chini au tukuache uamini unachoamini?
😀😀😀😀GLS 600 Maybach anaijua huyuuu?
images.jpeg
 
Nilishangaa sana Wkt wa hii Vita ya Ukraine Boris(PM wa UK by then) alinunua landcruiser za kutosha na kuzipeleka Ukraine kusaidia Vita,sijui kwanini hakununua Gari yoyote Ile kutoka Landrover(UK) na kuzipeleka field. 😄😄.

USA nao wakapeleka LC 70 series huko Ukraine sijui kwanini hawakupeleka Ford,GM etc
Bei zinafanana? Hiyo LC 70 na Ford, GM?
 
Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu!

Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!

Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo!

Na ukitaka kuielewa vizuri panda kwenda safari ndefu ndiyo utajua TOYOTA HAPA ALITULIZA KICHWA.

Uraibu wa hii gari ni viongozi wachache sana wakiafrika wanaweza kukubali kuushinda ili waachane kununua magari Haya ya gharama kubwa!

Zote zipo fiti ila hii land cruiser vx v8 2022 ni kiboko yao!

Ni gari bomba sana, very comfort, stable, luxury, High speed tolerance, sensor of crush, music system, massaging seat, sleeping sensor and much more!

Napata ugumu kukuelewesheni hii ya 2022 ilivyo bora na bomba ila kama kuna mtu yuko karibu na mwigulu nchemba anayo moja bado mbichi kabisa unaweza kuitizama ni mashine!

Land cruiser vx v8 inasifa moja kuu! INAOMBA NJIA MUDA WOTE!

Tunawalaumu bure viongozi wanavyopita pyuupyuupyuu huko barabarani siyo wao! Bali ni land cruiser vx v8 ndivyo inataka mambo hayo!

Naomba Mungu anijalie na mimi siku nimiliki yangu!

View attachment 2373415

2021 kuendelea Toyota wametoa tolea jipya la 300 series ambayo sio V8 ni V6

Edit bango lako ufafanue ni Aina gani ya land cruiser uliopanda pamoja na model ya engine yake
 
Uzuri busta zikitaga unapaki ndani,
Haha! airbags za japan ni simple sana kutengeneza kuliko za mzungu , discovery, range ,bmw, benz busta zikizingua kweli unaweza kupaki gari,
Japan ametumia tech rahisi sana kwenye air bags ndo maana hata watu wa costa zikizingua siku hizi wanatengeneza za local .
Unahitaji air supply, na kitu kinaitwa mzani , baas!!! Gari inarudi kwenye mneso wa busta !!! You ll loose abs support ,,na vikolombwezo kadhaa lakini sio mneso
 
Back
Top Bottom