Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

USA & UK wana malengo yao pale Ukraine. Ni kama wameamua kumpa chochote Mjapani nayeye anufaike na huo mgogoro. Kumtuliza Mjapani kiaina.
 
Hv nyie Mmezion BMW X7 Audi Q7, Porsche na benzi gl300
Muongezee na RR, Maybach, lamborghini aventador, Ferrari...Kimsingi huyu jamaa hajui Luxury cars...anashindwa kutofautisha kati ya gari la abiria na mizigo na Luxury car...Hakuna Luxury car yenye seat nane....huwezi ona superstar wa music,,,mpira au kitu chochote huko dunian anaendesha brand yoyote ya toyota. Hizo tunaendesha sisi maskini wa Africa. Naipenda hyo gari kutokana tu na kuwa inahimili barabara zetu mbovu ila siwezi irate kama Luxury car...HAPANAAA...Huwezi pata brand new luxury car kwa usd 150,000 popote pale duniani ambayo ndo bei ya brabd new Vx V6 anayoongelea bwana huyu
 
Luxury cars za $150,000 ni nyingi sana tu.

Labda unatafsiri nyingine kwa maana ya luxury cars.
 
Wewe unazungumzia luxury mi nazungumzia SPEED NA Comfortability ya gari kuhimili mazingira yote ya lami na pori kwa pori!
HIZO GARI ULIZOTAJA UKIPELEKA RAFU ROAD NI KUKU WA KIZUNGU
 
Kujisifia upumbavu tu
 
Nimewahi kutembelea fortuner ni balaa

Sasa kama fortuner ni balaa hiyo V8 si ndo itakua balaa na nusu
 
Hakuna luxury car ya seat nane 😳
Tofautisha kati ya luxury and expensive car mark x mpya ipo pia kundi la luxury cars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…