Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Land Rover Discovery 4 - Mega thread

na hiyo luxury ina seat 7 mbili zipo nyuma wakati suv nyingi zipo seat 5 tuu natuma picha ya luxury uone na pia boot ya nyuma unaweza kufungua kwa mguu ni gari nzuri sema kwetu kuielewa itachukua miaka 5 mbele ingawaje zipo chache kwa sasa hapo..
 
tmp-cam-1405273988.jpg
 
Kwanin unasema itachukua miaka 5 kuielewa?
 
umenena nafikiri kasumba inasumbua watu..sana gari yangu ya kwanza nilitaka nunua nilitaka nunua mazda verisa au nissani tiida.. jama wasema mengi saana ila kweli, ninakafurahia kamazda verisa kangu hako!!
vp mkuu hiyo mazda verisa yako,bado iko vizuri?nini mapungufu yake maana na mimi nataka nikakanunue.
 
vp mkuu hiyo mazda verisa yako,bado iko vizuri?nini mapungufu yake maana na mimi nataka nikakanunue.

Kwa kweli bado sijashuhudia tatizo lolote hadi sasa, kuna jamaa yangu alikuwa na demio alikuwa anatafuta wind mirror ili mgharimi kiasi ili alipata kioo poa kabisa sio vya magumashi!
 
Asante sana brother. ni sh ngapi hadi mkononi mwangu?
Mkuu ukihitaji utaniambia kodi Tunduma ni 24,000,000 mimi naweza kukuletea mpaka Tunduma zinapungua bei kila mwaka hizo disco 3 utakapokua ok tunawasiliana nakutumia picha ya gari hizo mbili au tatu utakayokubali nakuletea Disco 3 sio hatari huku ni gari za kawaida as ni za zamani 2005 na 2007 sema kodi ndio inaua sana..
 
Hiv unauza used ama brand new?
 
Chief...hiz disc za nyuma kidogo yaan around 2000 huko bei gan?!
 
MR Uninformed disc za 2000 ni disc 2 nadhani maana scraper sijaziona disc za miaka 2000 kwa 2 itakua inacheza rand30000 mpaka 50000 ambazo zinadhani kama itazidi Tsh 6000,000 kwa kununua maana hata disc 3 bei zimepungua ila kwa kuwa rand imesimama kwenye usd inaonekana ipo pale pale..
 
Mbn hujibu swali langu..ni used o new?
 
stanley sorry gari huku zipo mpya na used inategemeana wewe unataka ipi ila disco 3 hakuna jipya, bei ya gari mpya ni sawa atakayouza agent ambayo agent popote ukimfata anaweza kukuagizia ila ukiitaji gari yeyote mpya tunaweza kupanga ukaipata pia..
 
Mkuu Isanga hizi disco 3 engine size ni kuanzia 4000cc?
 
Ni wazi huyajui haya magari. discovery 4 zina engine tofauti tofauti. 3.0tdv6 hii ni diesel engine very economical, 4.0/4.4 v8 petrol engine hii ni gas guzzler.

Labda una experience na discovery 3 zilizochoka ila disco 4 zimeanzia 2009 nyingi hazisumbui.
Nipo katika company ya jaguar landrover nafanya kazi kuna project ya muda tu, gari ninazo ziona ni chache sana ambazo zinafanyiwa marekebisho, katika asilimia 100 basi discovery landrover ni 20 percent tu zinazo kuja kwa kufanyiwa marekebisho.

Nyingi ni range rover, lakini naona hii ni kawaida, hapa nilipo ni kituo kikubwa cha kufanyia ukarabati gari ambazo return zenye matatizo ya manufacturer.

Jaguar landrover ni company moja, hizi gari ni tishio bwana, Europe ndio gari za kifahari zikifukuzana na audi pamoja na bmw
discovery gari nzuri mkuu...barabara zetu hizi mpaka discovery 200 bado zinatembea. Unajua za lini hizo? 1995/6/8
 
kudasai hapana zipo 3000 cc V 6 , VHS diesel na chini ya hapo pia ila petrol..hiyo ya diesel pia mafuta kawaida tuu Muingereza kabana hazinywi mafuta ila kwa V 8 ndio inajieleza inakunywa...kujua nyuma inaandikwa 6VHS hiyo ni V 6 na nyingi 3000cc mpaka 2500cc zipo ila nadhani chache sana za petrol hizo..
 
Back
Top Bottom