Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanin unasema itachukua miaka 5 kuielewa?na hiyo luxury ina seat 7 mbili zipo nyuma wakati suv nyingi zipo seat 5 tuu natuma picha ya luxury uone na pia boot ya nyuma unaweza kufungua kwa mguu ni gari nzuri sema kwetu kuielewa itachukua miaka 5 mbele ingawaje zipo chache kwa sasa hapo..
Ukiweka kodi na kila kitu inafika ngap?View attachment 420781
hiyo inauzwa bei zinaanzia Rand 600000 mpaka rand 700000 kwa tsh kuanzia 90 milion mpaka 110 milion kwa model ya 2015 sport sd 4 Hse
vp mkuu hiyo mazda verisa yako,bado iko vizuri?nini mapungufu yake maana na mimi nataka nikakanunue.umenena nafikiri kasumba inasumbua watu..sana gari yangu ya kwanza nilitaka nunua nilitaka nunua mazda verisa au nissani tiida.. jama wasema mengi saana ila kweli, ninakafurahia kamazda verisa kangu hako!!
vp mkuu hiyo mazda verisa yako,bado iko vizuri?nini mapungufu yake maana na mimi nataka nikakanunue.
Asante sana brother. ni sh ngapi hadi mkononi mwangu?View attachment 419094
Royals hizo zipo nyingi na zina ubora sana huku ni gari za zamani hizo 2005 mpaka 2007..
Mkuu ukihitaji utaniambia kodi Tunduma ni 24,000,000 mimi naweza kukuletea mpaka Tunduma zinapungua bei kila mwaka hizo disco 3 utakapokua ok tunawasiliana nakutumia picha ya gari hizo mbili au tatu utakayokubali nakuletea Disco 3 sio hatari huku ni gari za kawaida as ni za zamani 2005 na 2007 sema kodi ndio inaua sana..Asante sana brother. ni sh ngapi hadi mkononi mwangu?
Hiv unauza used ama brand new?Mkuu ukihitaji utaniambia kodi Tunduma ni 24,000,000 mimi naweza kukuletea mpaka Tunduma zinapungua bei kila mwaka hizo disco 3 utakapokua ok tunawasiliana nakutumia picha ya gari hizo mbili au tatu utakayokubali nakuletea Disco 3 sio hatari huku ni gari za kawaida as ni za zamani 2005 na 2007 sema kodi ndio inaua sana..
Chief...hiz disc za nyuma kidogo yaan around 2000 huko bei gan?!Mkuu ukihitaji utaniambia kodi Tunduma ni 24,000,000 mimi naweza kukuletea mpaka Tunduma zinapungua bei kila mwaka hizo disco 3 utakapokua ok tunawasiliana nakutumia picha ya gari hizo mbili au tatu utakayokubali nakuletea Disco 3 sio hatari huku ni gari za kawaida as ni za zamani 2005 na 2007 sema kodi ndio inaua sana..
Mbn hujibu swali langu..ni used o new?MR Uninformed disc za 2000 ni disc 2 nadhani maana scraper sijaziona disc za miaka 2000 kwa 2 itakua inacheza rand30000 mpaka 50000 ambazo zinadhani kama itazidi Tsh 6000,000 kwa kununua maana hata disc 3 bei zimepungua ila kwa kuwa rand imesimama kwenye usd inaonekana ipo pale pale..
Nipo katika company ya jaguar landrover nafanya kazi kuna project ya muda tu, gari ninazo ziona ni chache sana ambazo zinafanyiwa marekebisho, katika asilimia 100 basi discovery landrover ni 20 percent tu zinazo kuja kwa kufanyiwa marekebisho.Ni wazi huyajui haya magari. discovery 4 zina engine tofauti tofauti. 3.0tdv6 hii ni diesel engine very economical, 4.0/4.4 v8 petrol engine hii ni gas guzzler.
Labda una experience na discovery 3 zilizochoka ila disco 4 zimeanzia 2009 nyingi hazisumbui.
discovery gari nzuri mkuu...barabara zetu hizi mpaka discovery 200 bado zinatembea. Unajua za lini hizo? 1995/6/8