Wafanyabiashara na matajiri wa Arusha wamekuwa na ari na ubunifu mkubwa ila mara nyingi wamekosa sapoti ya Serikali. Landrover Festivals zilizofanyika hivi majuzi ni moja ya bunifu nyingi za watu wa Arusha na Moshi ambazo kwa muda mrefu zimekosa kuungwa mkono kwasababu za kisiasa.
Wanasiasa wengi hasa wa chama tawala wamehusisha bunifu hizi na siasa za vyama vingi na wameacha kuunga mkono juhudi za wananchi wakidhani watakuwa wanaipigia chapuo CHADEMA.
Kwa mfano watu wa Moshi walikuja na ubunifu wa kuchanga fedha za kujenga na kukarabati barabara za vijijini kuanzia miaka ya 2015 na kujikuta wanazuiliwa kutumia fedha hizo kwa hofu za kisiasa.
Soma Pia:
Landrover Festivals imekuja kukubalika siku hizi baada ya CCM kulichukua wazo hili kupitia Paul Makonda lakini sio wazo jipya na lilikuwepo kabla ya 2020.