Landrover festivals ni ubunifu wa watu wa Arusha na sio ubunifu wa Paul Makonda, wazo lilikuwepo kabla ya 2020

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Wafanyabiashara na matajiri wa Arusha wamekuwa na ari na ubunifu mkubwa ila mara nyingi wamekosa sapoti ya Serikali. Landrover Festivals zilizofanyika hivi majuzi ni moja ya bunifu nyingi za watu wa Arusha na Moshi ambazo kwa muda mrefu zimekosa kuungwa mkono kwasababu za kisiasa.

Wanasiasa wengi hasa wa chama tawala wamehusisha bunifu hizi na siasa za vyama vingi na wameacha kuunga mkono juhudi za wananchi wakidhani watakuwa wanaipigia chapuo CHADEMA.

Kwa mfano watu wa Moshi walikuja na ubunifu wa kuchanga fedha za kujenga na kukarabati barabara za vijijini kuanzia miaka ya 2015 na kujikuta wanazuiliwa kutumia fedha hizo kwa hofu za kisiasa.

Soma Pia:
Landrover Festivals imekuja kukubalika siku hizi baada ya CCM kulichukua wazo hili kupitia Paul Makonda lakini sio wazo jipya na lilikuwepo kabla ya 2020.
 
Mnatapatapa

Litaendelea kufanyika Kila mwaka na mwasisi wake ni Makonda, mtaunga juhudi wote.
 
Wafanyabiashara na matajiri wa Arusha wamekuwa na ari na ubunifu mkubwa ila mara nyingi wamekosa sapoti ya serkali. Landrover festivals zilizofanyika hivi majuzi ni moja ya bunifu nyingi za watu wa Arusha na Moshi ambazo kwa muda mrefu zimekosa kuungwa mkono kwasababu za kisiasa.

Wanasiasa wengi hasa wa chama tawala wamehusisha bunifu hizi na siasa za vyama vingi na wameacha kuunga mkono juhudi za wananchi wakidhani watakuwa wanaipigia chapuo CHADEMA.

Kwa mfano watu wa Moshi walikuja na ubunifu wa kuchanga fedha za kujenga na kukarabati barabara za vijijini kuanzia miaka ya 2015 na kujikuta wanazuiliwa kutumia fedha hizo kwa hofu za kisiasa.

Landrover festivals imekuja kukubalika siku hizi baada ya CCM kulichukua wazo hili kupitia Paul Makonda lakini sio wazo jipya na lilikuwepo kabla ya 2020.
Kuna balloon festivals
 
Tunaelewa, Makonda kapita na kazi ya watu
 
Mtakuja kupata magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kisa tu chuki kwa Mh Paul Makonda

Ifike mahali ni either mumuunge mkono au mkae kimya kuliko huu upuuzi unaouleta

Makonda hapoi, haboi popote muweke atachapa kazi na kukuchangamshia mji au taasisi yako
 
Kitendo tu cha kuwa tayari kutekeleza wazo lenu la muda mrefu kinamaanisha ame-take risk ambayo watangulizi wake hawakuwa tayari kuibeba.

Hii inamfanya a-deserve kubeba credit zote kama ambavyo angebeba lawama zote kama lisingeenda vizuri. A good leader should have the balls kama Makonda.

Pole kwa wivu.
 
Wafanyabiashara na matajiri wa Arusha wamekuwa na ari na ubunifu mkubwa ila mara nyingi wamekosa sapoti ya serkali. Landrover Festivals zilizofanyika hivi majuzi ni moja ya bunifu nyingi za watu wa Arusha na Moshi ambazo kwa muda mrefu zimekosa kuungwa mkono kwasababu za kisiasa.

Wanasiasa wengi hasa wa chama tawala wamehusisha bunifu hizi na siasa za vyama vingi na wameacha kuunga mkono juhudi za wananchi wakidhani watakuwa wanaipigia chapuo CHADEMA.

Kwa mfano watu wa Moshi walikuja na ubunifu wa kuchanga fedha za kujenga na kukarabati barabara za vijijini kuanzia miaka ya 2015 na kujikuta wanazuiliwa kutumia fedha hizo kwa hofu za kisiasa.

Soma Pia:
Landrover Festivals imekuja kukubalika siku hizi baada ya CCM kulichukua wazo hili kupitia Paul Makonda lakini sio wazo jipya na lilikuwepo kabla ya 2020.
Ngoja akusikie yule mchepuko wake Lucas Mwashambwa .
 
December tutafanya Ng'ombe Festival karibu sana mkuu.
 
Wafanyabiashara na matajiri wa Arusha wamekuwa na ari na ubunifu mkubwa ila mara nyingi wamekosa sapoti ya Serikali. Landrover Festivals zilizofanyika hivi majuzi ni moja ya bunifu nyingi za watu wa Arusha na Moshi ambazo kwa muda mrefu zimekosa kuungwa mkono kwasababu za kisiasa.

Wanasiasa wengi hasa wa chama tawala wamehusisha bunifu hizi na siasa za vyama vingi na wameacha kuunga mkono juhudi za wananchi wakidhani watakuwa wanaipigia chapuo CHADEMA.

Kwa mfano watu wa Moshi walikuja na ubunifu wa kuchanga fedha za kujenga na kukarabati barabara za vijijini kuanzia miaka ya 2015 na kujikuta wanazuiliwa kutumia fedha hizo kwa hofu za kisiasa.

Soma Pia:
Landrover Festivals imekuja kukubalika siku hizi baada ya CCM kulichukua wazo hili kupitia Paul Makonda lakini sio wazo jipya na lilikuwepo kabla ya 2020.
Vipo vitu vingi vya msingi vya kijadili kuhusu taifa lakini sio hili jambo dogo sana hata tija halina!
 
Back
Top Bottom