Language body ya mawaziri wengi, wanapenda nafasi walizopo, ila hawamtaki kiongozi wao!

Kuna Wizara juzi imezindua Miongozo ya Elimu kwa wanafunzi wenye Mahitaji Maalum. Mpaka sasa hakuna update namna ya utekelezaji katika shule.
 
Kwani mpaka Leo una kero Gani, mbona zote tumeshamaliza. Sema keto yako tuje usigeneralise kero zako ukazifanya ziwe za wote. Kama kero yake hujala toka asubuhi lakini wengine wanakula kila wakijisikia je?
 
Yeye Boss anajali hilo?
 
Mkuu kuna kero kuu na sugu tatu - 3, ambazo ni maradhi, ujinga na umasikini.

Naomba ututajie Rais yupi na baraza lake la mawaziri lipii aliyeweza kutatua na kumaliza kabisa hizo kero tajwa katika kipindi chake kwa miongo sita sasa - 6.

Mkuu zingatia kuwa kwa miongo hiyo sita - 6 hakuna mabadiliko yoyote ya chama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…