LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

Facts from cooked data. Wewe hujiulizi huo mzigo wote huwa unakwenda wapi? Port zenu hazina wateja wengi kama kwetu, mostly your import is for local consumptions. Sasa hujiulizi tu mna import nini mno for consumption? Hata ukiangalia BOP Kati yenu na sisi iko Sawa na saiv tumewapita.. Na Kwa ukanda huu tunaongoza Kwa mauzo ya bidhaa nje. Sasa nyie hiyo import ya kutuzidi ni ya kitu gani?

Try to be logical, it doesn't add up. Nyie mnapika data, na wanafanya makusudi ili waendelee kuwaumiza nyie watu wadogo. Bottom up ndio approach itaweza kuwatoa hapo mlipo.

You need Grass roots investment to trigger economic activities to the community. Tofauti na Sasa uchumi wa makaratasi una neemesha wachache.
Latest data ninayo inasema kwamba Kenya ili-import $14 billion worth of goods mwaka 2019. Hio ni around 20% of Tanzania's GDP. Wewe endelea kuamini kwamba hii ni cooked data.
 
What was your major import? List 5.
 
Facts from cooked data. Wewe hujiulizi huo mzigo wote huwa unakwenda wapi? Port zenu hazina wateja wengi kama kwetu, mostly your import is for local consumptions. Sasa hujiulizi tu mna import nini mno for consumption? Hata ukiangalia BOP Kati yenu na sisi iko Sawa na saiv tumewapita.. Na Kwa ukanda huu tunaongoza Kwa mauzo ya bidhaa nje. Sasa nyie hiyo import ya kutuzidi ni ya kitu gani?

Try to be logical, it doesn't add up. Nyie mnapika data, na wanafanya makusudi ili waendelee kuwaumiza nyie watu wadogo. Bottom up ndio approach itaweza kuwatoa hapo mlipo.

You need Grass roots investment to trigger economic activities to the community. Tofauti na Sasa uchumi wa makaratasi una neemesha wachache.
Wateja wengi wa nchi uchwara!
Sijui Burundi sijui Malawi sijui Rwanda sijui eastern drc!!!
Nakuru county or kiambu inapokea more than them!!!
 
Inapokea nini na inafanyia nini hizo imported goods? Let's go down to the bottom of it... Not just mere words..

Halafu unalia lia sana we jamaa ni wa kiambuu nini? Maana kiambuu wasee ndio wanapiga nduru kuliko mama zao.
 
Kuna mtu nataka aone hii. Anajijua. Alikuwa anasema kwamba Lamu port haiwezi kuwa transhipment hub ya port za Tanzania. Siku hizi hata ameshindwa kuzungumza kuhusu Lamu port. Amebakia kupost video za port za kwao.

Halafu crane ka Zanzibar port ni kadogo sana. Kanastruggle kuinua container moja.
 
Northern corridor quarterly progress report June 2021

lamu-forecasts-jpg.1952545
 
Kuna mtu nataka aone hii. Anajijua. Alikuwa anasema kwamba Lamu port haiwezi kuwa transhipment hub ya port za Tanzania. Siku hizi hata ameshindwa kuzungumza kuhusu Lamu port. Amebakia kupost video za port za kwao.

Hii lamu port yenye berth moja na cranes mbovu mlizochukua Mombasa?

Pitia link Kwanzaa hiyo.
 
Hizo cranes bado zinafanya kazi. Punguza wivu dogo.
Teh wivu Kwa kipi hapo Sasa? Kwa port yenye berth moja na cranes mbovu za kuazima? Ujue capacity wise hiyo lamu haijafikia hata Mtwara port Kwa infrastructure?

Sometimes wewe Jamaa nawazaga ni cowboy analyst /economists au ni Ile unakuwa clouded na fake patriotism Kwa kunyaland... Where do you fall between the two?
 
Boss capacity ya berths tatu za Lamu port imeshinda capacity ya Dar es Salaam port. Berths tatu za Lamu port at full capacity zinaweza kuhandle 1.2 million TEUs of cargo. Dar es Salaam port at full capacity haiwezi kuhandle hata 1 million TEUs of cargo.
 
Dar is slum port is doing 600,000 TEUS🤣🤣😂🤣
 
Hehehe kweli Dar port is still toddler to Mombasa port, Mombasa port received 65,000 tonnes of fertilizer last week. That's almost twice of the record breaking thing in your country 😂😂🤣
 
Hehehe kweli Dar port is still toddler to Mombasa port, Mombasa port received 65,000 tonnes of fertilizer last week. That's almost twice of the record breaking thing in your country [emoji23][emoji23][emoji1787]
Halafu hiyo mbolea yote iliyoshuka Mombasa ikaenda wapi? Wewe jamaa una akili mbovu sana.
 
Boss capacity ya berths tatu za Lamu port imeshinda capacity ya Dar es Salaam port. Berths tatu za Lamu port at full capacity zinaweza kuhandle 1.2 million TEUs of cargo. Dar es Salaam port at full capacity haiwezi kuhandle hata 1 million TEUs of cargo.
Ndio maana nasema wewe ni cowboy analyist. Hizo berth Tatu za lamu ni zipi? Na panafanyika vipi operation kubwa wakati hakuna offloading machines?

Huo mkopo wa dola billion 17 msipopata mnabakiwa na hiyo berth moja tu ya lamu. Hizo mbili haziwezi kukamilika, na najua mkopo hamuwezi Pata maana mko na madeni Kwa mchina na mjapan Kwa sana.

Plus expansion on Somalia port na Djibouti sioni place ya lamu kwenye ligi ya Northern corridor Maana mteja mkubwa mnaevizia ni Ethiopia, ambae he turns to Somalia via berbera na railway to Djibouti. Sasa muenda Kwa wanaokufa Kwa njaa kama nyie S. Sudan. Na mkicheza M7 atamchukua na sisi tutamuungia through central corridor.

Adios.
 
Halafu hiyo mbolea yote iliyoshuka Mombasa ikaenda wapi? Wewe jamaa una akili mbovu sana.
Acha ujinga, kwani mzigo huwa ikishuka kwa bandari huwa inaenda? Hiyo mbolea yenye imeshushwa Dar inaenda wapi?
 
Ndio maana nasema wewe ni cowboy analyist. Hizo berth Tatu za lamu ni zipi? Na panafanyika vipi operation kubwa wakati hakuna offloading machines?

Huo mkopo wa dola billion 17 msipopata mnabakiwa na hiyo berth moja tu ya lamu. Hizo mbili haziwezi kukamilika, na najua mkopo hamuwezi Pata maana mko na madeni Kwa mchina na mjapan Kwa sana.

Plus expansion on Somalia port na Djibouti sioni place ya lamu kwenye ligi ya Northern corridor Maana mteja mkubwa mnaevizia ni Ethiopia, ambae he turns to Somalia via berbera na railway to Djibouti. Sasa muenda Kwa wanaokufa Kwa njaa kama nyie S. Sudan. Na mkicheza M7 atamchukua na sisi tutamuungia through central corridor.

Adios.
Wishful thinking. Museveni can't use less efficient ports like the ones in Tanzania. Are you aware that Mombasa port alone inahudumia mizigo mingi kuliko bandari zote za Tanzania zikiunganishwa?
 
Back
Top Bottom