Facts from cooked data. Wewe hujiulizi huo mzigo wote huwa unakwenda wapi? Port zenu hazina wateja wengi kama kwetu, mostly your import is for local consumptions. Sasa hujiulizi tu mna import nini mno for consumption? Hata ukiangalia BOP Kati yenu na sisi iko Sawa na saiv tumewapita.. Na Kwa ukanda huu tunaongoza Kwa mauzo ya bidhaa nje. Sasa nyie hiyo import ya kutuzidi ni ya kitu gani?
Try to be logical, it doesn't add up. Nyie mnapika data, na wanafanya makusudi ili waendelee kuwaumiza nyie watu wadogo. Bottom up ndio approach itaweza kuwatoa hapo mlipo.
You need Grass roots investment to trigger economic activities to the community. Tofauti na Sasa uchumi wa makaratasi una neemesha wachache.